Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
- Thread starter
- #41
Kweli ila jamaa kafa vibaya au katumia hela za kikundi niniJamaa mjinga....mwanaume ukitaka kujiua nenda ita mkeo na watoto wako waage kisha jilipue..siyo unaua watu ambao hawana hatia yeyote ile.
Kufa kijinga namna hiyo kisa mipombe ya kunywa bila kipimo na busara.
Poleni wanakikundi - kama docs zipo sawa basi wakati wa mirathi mtaandika demand note kwenda mahakamani.