Alex Korosso afa na hela za kikundi cha Uigizaji

Alex Korosso afa na hela za kikundi cha Uigizaji

Kumbe alikuwa mwiigizaji?
Kumbe alikuwa location anatengeza movie pale Sinza.Sijui kwa nini pombe zimepunguzwa kodi na kuongezwa bei ya miamala ya kutuma na kutoa fedha kwenye simu.Tutaona Mengi saana.Hata yule jamaa aligeuzwa mshikaki huenda alileweshwa kwanza
 
hapa labda wanataka kuzidiana ujanja kwa hali ya sasa pesa ya kikundi huwa na wapiga sahihi zaidi ya watatu hii ya kumpa mtu mmoja akaae nazo kwenye kibubu chake inaonyesha wazi hao waigizaji kama kioo cha jamii basi wana tatizo ama uelewa hafifu matangazo yote hayo na mengine wanashiriki kuyafanya kuhusu account za vikundi bado wanaamini kibubu kukaa kwa mtu?
Absolutely true
 
Unaujua utaratibu wa uendeshaji wa kikundi kinachohusisha kuwekeza fedha???
 
Ndio kafa na hela za kikundi?

Halafu wewe ni mwanadamu unamzushia marehemu tuhuma unajua hayupo hapa kujitetea?

Yaani unadhani hela za kikundi kilichosajiliwa ukifa unakufa na hela zake?

Hivi una akili wewe mtu?
Unaongea na mimi au huyo kiongozi wao
 
Naongea na wewe kiazi unaemtungia marehemu tuhuma za kipumbavu

Hujui hata vikundi vya hiyari vinaendeshaji bank accounts?

Hujui au unajipaka mavi tu hapa?

Vikundi vya hiyari unadhani signatory akifa ndo kaondoka na hela?

Vikundi vya hiyari sio kampuni binafsi za one man signature

Uwe unaongea vitu unavyovijua,eti kafa na hela,punguani wewe!
Umemaliza au bado unaendelea kuropoka
 
Jamaa mjinga....mwanaume ukitaka kujiua nenda ita mkeo na watoto wako waage kisha jilipue..siyo unaua watu ambao hawana hatia yeyote ile.

Kufa kijinga namna hiyo kisa mipombe ya kunywa bila kipimo na busara.

Poleni wanakikundi - kama docs zipo sawa basi wakati wa mirathi mtaandika demand note kwenda mahakamani.
 
Back
Top Bottom