Alex Korosso afa na hela za kikundi cha Uigizaji

Kumbe alikuwa mwiigizaji?
Kumbe alikuwa location anatengeza movie pale Sinza.Sijui kwa nini pombe zimepunguzwa kodi na kuongezwa bei ya miamala ya kutuma na kutoa fedha kwenye simu.Tutaona Mengi saana.Hata yule jamaa aligeuzwa mshikaki huenda alileweshwa kwanza
 
hadi leo sinza bado kuna wajanja?
Sinza kwa wajanja.
 
Absolutely true
 
Unaujua utaratibu wa uendeshaji wa kikundi kinachohusisha kuwekeza fedha???
 
Ndio kafa na hela za kikundi?

Halafu wewe ni mwanadamu unamzushia marehemu tuhuma unajua hayupo hapa kujitetea?

Yaani unadhani hela za kikundi kilichosajiliwa ukifa unakufa na hela zake?

Hivi una akili wewe mtu?
Unaongea na mimi au huyo kiongozi wao
 
Umemaliza au bado unaendelea kuropoka
 
Jamaa mjinga....mwanaume ukitaka kujiua nenda ita mkeo na watoto wako waage kisha jilipue..siyo unaua watu ambao hawana hatia yeyote ile.

Kufa kijinga namna hiyo kisa mipombe ya kunywa bila kipimo na busara.

Poleni wanakikundi - kama docs zipo sawa basi wakati wa mirathi mtaandika demand note kwenda mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…