Alex Massawe abadili dini na kusilimu

Alex Massawe abadili dini na kusilimu

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Alex Massawe, mtu maarufu sana Tanzania, ameamua kusilimu baada ya kuyafahamu mema ya Uislam kupitia kwa mwanawe ambae alikuwa Amesilim kabla yake huko nchini Afrika Kusini.

Allahu Akbar.



IMG-20230721-WA0022.jpg
 
We mama unatafutaga nini sijui, hii taarifa yanini sasa?

Watu wakikufata PM uwaelimishe kuhusu dini yako waslimu hujibu PM zao.

unawafungulia mpka na uzi kuwasuta wewe sio msikiti.

ila wenye pesa zao wakihamia uislamuni kimbelembele kufungua UZI.

Lengo lako hasa hata silielewagi hapa JF maana huburudishi bali unakera.

hapo utasema haupo JF kumfurahisha mtu, Fine basi pia usikere watu.

Mi sazingine nahisigi wewe ni ka mama samia ila hapana mama samia ana hekima sio ropo ropo na baguzi kama wewe.
 
Quote from the Holy Qur'an: An-Nasr (110:2-3)

وَرَأَيْتَ ٱلنَّاسَ يَدْخُلُونَ فِى دِينِ ٱللَّهِ أَفْوَاجًا

Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi,


فَسَبِّحْ بِحَمْدِ رَبِّكَ وَٱسْتَغْفِرْهُ ۚ إِنَّهُ ۥ كَانَ تَوَّابًۢا

Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba.
 
Back
Top Bottom