Alex Massawe abadili dini na kusilimu

Alex Massawe abadili dini na kusilimu

Jambazi Alex Massawe akishirikiana na Tapeli Papaa Musofe walimuua Mfanyabiashara na kupora Jumba lake la Floor Tatu Mikocheni ndiyo kisa cha kukimbia Africa Kusini ,huyo Jambazi anatautwa na Interpol nashangaa kwanini akamatwi.
Mkuu huyu jamaa ni hatari,
Nikikumbuka miaka ya 90 ..alisumbua Nairobi-Arusha- Moshi..

Yaani mpaka leo Polisi wamempa salute kiwango cha juu..
Huyu kipindi cha nyuma alikuwa anatembea na dola kuanzia laki moja.. akidakwa anatoa dola za kutosha polisi wanamwambia potea..

Ni mtu wa machale sana.. Akisema nahisi hapa sipaelewi.. Akiondoka dakika 10 askari hawa hapa ila mwamba kashachomoka..

Nafikiri alishastaafu hizi kazi
 
Kwanini mtu wa dini nyingine akibadili dini kuwa muislamu inakuwa habari kubwa sana, wakati huo huo hao waislamu waliohamia ukristoni wako wengi sana na hakuna anayetangaza popote,

Mfano mzuri pale Kawe kwa Mwamposa nadhani waislamu ndiyo wamejaa kuliko hata hao wakristo lakini huiskii popote kama habari..!!

Asili ya mwanadamu ni kuwa 'flexible', hivyo sioni haja ya hizi 'mbwembwe' zote..!
 
hiyo mbingu na huo moto umeuona wapi hata ukathibitishia watu kuwa watakwenda?

Wewe mwenyewe hata hujijui utaishia wapi
 
Back
Top Bottom