Alex Massawe abadili dini na kusilimu

Alex Massawe abadili dini na kusilimu

Bila kumwamini Yesu ndugu yangu sahau kwa habari ya kwenda mbinguni!! Wewe endelea kuamini katika dini badala ya kujitafuta kweli, bila Yesu ndugu ujue kwamba utaenda motoni
Kama kuna anaemuamini Yesu basi elewa hakuna zaidi ya Muislam.
 
Ila tapeli sio wa kumuamini hata kidogo mtapigwa tukio Waislamu.Keshaona mchongo wa pesa soon atalia mwarabu.
Uislam hautazami alikuwa nini kabla ya kuwa Muislam, tunaamini toka arudi kwenye Uislam dhambi zake zote kwa Mwenyezi Mungu anamsamehe.
 
Mabishano ya kidini ni ujinga na kipimo cha uelewa mdogo.

Uwepo wa mabishano na utata wa kidini na kiimani kuhusu ukweli na usahihi wa dini(Imani) fulani, unadhihirisha wazi kwamba Mungu hayupo.

Angekuwepo, angeweka dini moja tu ya kumwabudu yeye.
Kwani Mungu ndio kaweka dini nyingi au watu watu wenyewe ndio wana uhuru wa kuanzisha dini?
 
Kwani Mungu ndio kaweka dini nyingi au watu watu wenyewe ndio wana uhuru wa kuanzisha dini?
Dini ni za wanadamu na mawazo ya wanadamu na zili anzishwa na binadamu kwa maslahi yao binafsi.

Mungu Hayupo. Mungu ni dhana ya kufikirika isiyo kuwepo.
 
Namie nataka kusilimu Faiza naomba mwongozo
Ma shaa Allah, very simple.

Tunaweza kuanza kukusilimisha hapahapa. Halafu uttatafuta msikiti au Sheikh wowote wa jirani yako atakusimisha mbele ya mashahidi.

Ni wepesi sana. Tuanze? Ili na mimi nizipate baraka zako. Maana ukisilimu tu, dhambi zote za zamani zinafutwa hapohapo, unakuwa kama mtoto mchanga. Ma Shaa Allah.

Ni highly emotional, tafuta japo wenzako wawili wa Kiislam wawe karibu yako hapo tukusilimishe.
 
Bila kumwamini Yesu ndugu yangu sahau kwa habari ya kwenda mbinguni!! Wewe endelea kuamini katika dini badala ya kujitafuta kweli, bila Yesu ndugu ujue kwamba utaenda motoni
Unadhani ungemjua Yesu bila dini? ya kikristo ya ulimwengu(katoliki)? Acheni kujidanganya. Dini ni lazima.
 
Sema hivi amerudi kwenye dini yake ya asili, kwasbb kila binadamu huzaliwa akiwa muislamu isipo kua hubadilishwa na wazazi wake
We unaugua kichaa ama? eti kila mtu huzaliwa muislamu, wa nyoko? mnajikutaga sana nyie.
 
Dini ni za wanadamu na mawazo ya wanadamu na zili anzishwa na binadamu kwa maslahi yao binafsi.

Mungu Hayupo. Mungu ni dhana ya kufikirika isiyo kuwepo.
Suala la Mungu yupo au hayupo kwangu hizo ni imani mbili tofauti hakuna mwenye uthibitisho, ila tu uwepo wa dini nyingi sio kigezo cha kusema kuwa ndio kwamba hakuna Mungu.
 
kuna shuhuda moja nilisikiliza.

kuna jamaa alijiunga freemason, wakati anajiunga aliulizwa wewe dini gani, akasema mkristo, akaambiwa tunakusilimisha leo na tunakupa jina la kiislamu. ndio itakaa vizur kwenye chama chetu cha Freemason
 
Waislamu wanatatizo sana la kiimani. Bila kuishusha imani ya kikristo, bila kuwa desperate kupata waumini wapya na kushangilia imani yao haijakamilika. Yani wapo desperate alafu hapohapo wanaamini wao ndio wanajua kuliko wengine yani wao ndio wenye Mungu na dunia, wengine wasindikizaji, rubbish.
 
Back
Top Bottom