Alex Massawe abadili dini na kusilimu

Alex Massawe abadili dini na kusilimu

Ukuaji wa dini unahusisha kuenea kwa dini moja-moja na kuongezeka kwa idadi ya wafuasi wa kidini ulimwenguni pote. Katika sosholojia, kuacha dini ni kuenea au kukua kwa dini, mara nyingi baada ya kipindi cha secularization hapo awali. Kwa kawaida takwimu hupima idadi kamili ya wafuasi, asilimia ya ukuaji kamili kwa mwaka, na ukuaji wa wanaobadili imani duniani.

Tafiti katika karne ya 21 zinaonyesha kwamba, kulingana na asilimia na kuenea duniani kote, [1] [2] Uislamu ndiyo dini kuu inayokuwa kwa kasi zaidi duniani. [3] Utabiri wa kina wa kidini wa 2050 na Kituo cha Utafiti cha Pew unatabiri kwamba idadi ya Waislamu duniani itaongezeka kwa kasi zaidi kuliko idadi ya Wakristo - hasa kutokana na wastani wa umri mdogo na kiwango cha juu cha uzazi cha Waislamu. [4] [5] [6]

Desperate religion,huo ndio ukweli.
 
Kwani nilisema Dini ndicho kigezo pekee cha kusema mimi hakuna Mungu?

Nilikuwa namjibu yule mchangiaji mmoja aliye sema kwamba dini yake pekee ndio yenye ukweli na ndio dini ya Mungu.
Hakipaswi kuwa hata kigezo kimoja wapo, wewe unasema Mungu angekuwepo basi kungekuwa na dini moja tu ya Mungu na sio dini nyingi na ndipo nikakwambia Mungu hana dini nyingi kwamba watu wenyewe ndio wana uhuru wa kuanzisha dini.
 
Mwombeni mheshimiwa Raisi qtangaze siku ya mapumziko msherehekee ushindi huo mkubwa !!
 
Hakipaswi kuwa hata kigezo kimoja wapo, wewe unasema Mungu angekuwepo basi kungekuwa na dini moja tu ya Mungu na sio dini nyingi na ndipo nikakwambia Mungu hana dini nyingi kwamba watu wenyewe ndio wana uhuru wa kuanzisha dini.
Sasa wewe shida yako ni nini?

Na kipi ambacho huku elewa?
 
Koran 5;51. Enyi mlio amini! (Waislamu) Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki.

DINI YA SHWETANI HII.
Sahih Muslim 2167 a
Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
Do not greet the Jews and the Christians before they greet you and when you meet any one of them on the roads force him to go to the narrowest part of it.
حَدَّثَنَا قُتَيْبَةُ بْنُ سَعِيدٍ، حَدَّثَنَا عَبْدُ الْعَزِيزِ، - يَعْنِي الدَّرَاوَرْدِيَّ - عَنْ سُهَيْلٍ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ لاَ تَبْدَءُوا الْيَهُودَ وَلاَ النَّصَارَى بِالسَّلاَمِ فَإِذَا لَقِيتُمْ أَحَدَهُمْ فِي طَرِيقٍ فَاضْطَرُّوهُ إِلَى أَضْيَقِهِ ‏"‏ ‏.‏
Reference : Sahih Muslim 2167a
In-book reference : Book 39, Hadith 16

[emoji56][emoji56][emoji134][emoji12]
 
Sema hivi amerudi kwenye dini yake ya asili, kwasbb kila binadamu huzaliwa akiwa muislamu isipo kua hubadilishwa na wazazi wake
Vipi wale wazee wetu walioishi kabla ya ujio wa hizi Imani katika nchi za kiafrika?
Au zile jamii za wawindaji ambao bado wanaishi kama binadamu wa kale?
 
Sema hivi amerudi kwenye dini yake ya asili, kwasbb kila binadamu huzaliwa akiwa muislamu isipo kua hubadilishwa na wazazi wake
😀😀😀😀😀😀😀😀 duh…..
 
Alex Massawe, mtu maarufu sana Tanzania, ameamua kusilimu baada ya kuyafahamu mema ya Uislam kupitia kwa mwanawe ambae alikuwa Amesilim kabla yake huko nchini Afrika Kusini.

Allahu Akbar.

View attachment 2695851

View attachment 2695852
Hata akibadili Dini, mwambie Jinai haifi hata akiwa na Miaka Mia kizimbani atapandishwa tu muda ukifika! Kuna Wazee wawili wa miaka karibu 75 huko Tanga wamepandishwa Mahakamani kwa makosa ya Kugushi na kujipatia Mali kwa njia ya udanganyifu, na hilo kosa walifanya miaka 15 iliopita lakini hatimae Mwaka 2023 baada ya uchunguzi kukamilika wameshitakiwa! Kwa hiyo Alex bado muda wake haujafika na ukifika tu lazima awajibike!(Jinai haifi)
 
Back
Top Bottom