Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hi zawadi waliyoahidiwa waislam na nyinyi mnaitamani ?Panapo majaaliwa hata mimi nitaslimu,ni kwasababu moja tu ,bikra 72.
Kwani nilisema Dini ndicho kigezo pekee cha kusema mimi hakuna Mungu?Suala la Mungu yupo au hayupo kwangu hizo ni imani mbili tofauti hakuna mwenye uthibitisho, ila tu uwepo wa dini nyingi sio kigezo cha kusema kuwa ndio kwamba hakuna Mungu.
hatuitamani tunawachoraga mlivoingizwa chaka.Kumbe hi zawadi waliyoahidiwa waislam na nyinyi mnaitamani ?
Nilitaka nishangae Yani Mungu amchagulie zawadi binadamu alafu iwe mbaya
Hao walimtapeli.kuna shuhuda moja nilisikiliza.
kuna jamaa alijiunga freemason, wakati anajiunga aliulizwa wewe dini gani, akasema mkristo, akaambiwa tunakusilisha leo na tunakupa jina la kiislamu. ndio itakaa vizur kwenye chama chetu cha Freemason
Alipiga hela nyingi sana, alafu unasema walimtapeli.Hao walimtapeli.
Naam.Waislamu wanatatizo sana la kiimani. Bila kuishusha imani ya kikristo, bila kuwa desperate kupata waumini wapya na kushangilia imani yao haijakamilika. Yani wapo desperate alafu hapohapo wanaamini wao ndio wanajua kuliko wengine yani wao ndio wenye Mungu na dunia, wengine wasindikizaji, rubbish.
Ukuaji wa dini unahusisha kuenea kwa dini moja-moja na kuongezeka kwa idadi ya wafuasi wa kidini ulimwenguni pote. Katika sosholojia, kuacha dini ni kuenea au kukua kwa dini, mara nyingi baada ya kipindi cha secularization hapo awali. Kwa kawaida takwimu hupima idadi kamili ya wafuasi, asilimia ya ukuaji kamili kwa mwaka, na ukuaji wa wanaobadili imani duniani.Ukitaka kujua waislamu wana inferiority complex na wapo desperate kwa converts,ona wanavyo hangaika kupiga promo kila mtu akijiunga na dini yao,bila kujua maelfu wanao uacha uislamu kila uchwao na kubatizwa.
Huyo masawe amefuata maslahi sio mjinga kuna fursa kaiona.
Yesu ni Yesu na isa ni isa, Yesu hajawahi tamka neno lolote ndani ya Quran, isa kstamka mengi tu ndani QuranUnaongelea Yesu aliyesema maneno haya au👇👇
Quote from the Holy Qur'an: Maryam (19:30)
Acha kuhariri aya za Quran na kuingiza jina la Yesuقَالَ إِنِّى عَبْدُ ٱللَّهِ آتَىٰنِىَ ٱلْكِتَٰبَ وَجَعَلَنِى نَبِيًّا
(Mtoto-Nabii Issa/Yesu) akasema: Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu, na amenifanya Nabii
Jambazi Alex Massawe akishirikiana na Tapeli Papaa Musofe walimuua Mfanyabiashara na kupora Jumba lake la Floor Tatu Mikocheni ndiyo kisa cha kukimbilia Africa Kusini ,huyo Jambazi anatautwa na Interpol nashangaa kwanini akamatwi.
Yesu huyu huyu wa michongo? Yesu wa kina joh david, mwamposa, mckezie?Bila kumwamini Yesu ndugu yangu sahau kwa habari ya kwenda mbinguni!! Wewe endelea kuamini katika dini badala ya kujitafuta kweli, bila Yesu ndugu ujue kwamba utaenda motoni
Massawe ni opportunist na jambazi mzoefu.Alex Massawe, mtu maarufu sana Tanzania, ameamua kusilimu baada ya kuyafahamu mema ya Uislam kupitia kwa mwanawe ambae alikuwa Amesilim kabla yake huko nchini Afrika Kusini.
Allahu Akbar.
View attachment 2695851
View attachment 2695852
Hata Mwigulu alisema kila mtanzania huzaliwa akiwa CCM by nature 😆Sema hivi amerudi kwenye dini yake ya asili, kwasbb kila binadamu huzaliwa akiwa muislamu isipo kua hubadilishwa na wazazi wake
Kwani CCM ni dini/imani au ni philosophy ya ki siasa huyu anaanda mazingira ya kupata uraisi ndo lengo lake kuu iko radhi kuongea chochote ili mradi kina mpa kura.Hata Mwigulu alisema kila mtanzania huzaliwa akiwa CCM by nature [emoji38]
Huyo asiye mwislamu atakuwa kabadili diniSio kila muarabu ni Muislamu