Alex Massawe abadili dini na kusilimu

Alex Massawe abadili dini na kusilimu

Nchi hii Raha sana, ukiitazama ni kama hakuna ubaguzi ila ubaguzi upo wa Kila aina mf, udini, ukabila, utanganyika na uzenji. Dini zimeletwa na wakoloni ila tunavyozishadadia utafkiri tumezianzisha
 
Nini dini Hata akitaka kubadili Jinsia uamuzi ni wake
 
Sema hivi amerudi kwenye dini yake ya asili, kwa sababu kila binadamu huzaliwa akiwa muislamu isipo kua hubadilishwa na wazazi wake
Nyokoroo bora ungesema miila za kiafrika...Dini sio uislam sio ukristo ni danganya toto ili kumtawalaa mwanadamu
 
bora wametupokea hilo jambazo manake lilikuwa linachafua ugalatia. waende tu wakahangaike nalo.
Basi hata awatafute wale aliyowazulumu angalau awafute machozi ,na slimu yake itakuwa imekubaliwa bila shida kwa Mola wake!!
 
Yule jamaa wa the story book siku moja atuletee na huyu mwamba.

Nakumbuka moja ya story ni makomandoo ndiyo walimuweza pona yake ikawa hiyo ya kwenda south.
 
Back
Top Bottom