Kikosi chao cha majambazi hakina manufaa yoyote kwa taifa!View attachment 3563140
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama, amepandishwa cheo na kuwa Kamishna wa Polisi, pamoja na kuteuliwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuwa Kamishna wa Polisi Jamii.
Kamishna Mkama ameapishwa rasmi leo, tarehe 26 Machi 2026, na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Camillus Wambura.
Kupandishwa cheo na uteuzi huu ni matokeo ya utendaji wake uliotukuka, nidhamu, na mchango wake mkubwa katika kuimarisha usalama na utulivu wa wananchi.
Tunamtakia kila la kheri katika majukumu yake mapya ya kulitumikia taifa.
Hongera sana Kamishna Alex Mkama ๐๐พ๐น๐ฟ
Sifa ni umeua wangapi, umeteka wangapi, umetesa wangapi, umepoteza wangapi which all boil down to degree of UKATILI YOU HAVE, THEN UNAPANDISHWA CHEOView attachment 3563140
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama, amepandishwa cheo na kuwa Kamishna wa Polisi, pamoja na kuteuliwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuwa Kamishna wa Polisi Jamii.
Kamishna Mkama ameapishwa rasmi leo, tarehe 26 Machi 2026, na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Camillus Wambura.
Kupandishwa cheo na uteuzi huu ni matokeo ya utendaji wake uliotukuka, nidhamu, na mchango wake mkubwa katika kuimarisha usalama na utulivu wa wananchi.
Tunamtakia kila la kheri katika majukumu yake mapya ya kulitumikia taifa.
Hongera sana Kamishna Alex Mkama ๐๐พ๐น๐ฟ
labda ndio IGP mpya anaandaliwaHuyu s alikuwa SACAP mbona hata hajafika DCP Ghafla kawa CP
LAZARO MAMBOSASA mwaka wa 5 huu n DCP na yule kamanda wa mwanza bado DCP hajapanda cheo mwaka wa 3 iweje huyu apande kwa haraka na kuruka cheo kimoja ?
All sacp to dco wako in range ya uteuzi since CP ni uteuzi. So itadepend na ufanyaji kazi wa mtuHuyu s alikuwa SACAP mbona hata hajafika DCP Ghafla kawa CP
LAZARO MAMBOSASA mwaka wa 5 huu n DCP na yule kamanda wa mwanza bado DCP hajapanda cheo mwaka wa 3 iweje huyu apande kwa haraka na kuruka cheo kimoja ?
Ni cheo Cha uteuzi sio lazima apitie uDCP, Mambosasa ni mstaafu pamoja na kamanda Murilo. Yupo pale kwa mkataba hivyo vyeo havimuhusu Tena.Huyu s alikuwa SACAP mbona hata hajafika DCP Ghafla kawa CP
LAZARO MAMBOSASA mwaka wa 5 huu n DCP na yule kamanda wa mwanza bado DCP hajapanda cheo mwaka wa 3 iweje huyu apande kwa haraka na kuruka cheo kimoja ?
Ni wa kawaida sana, udogo unambeba.Huyo dada apo pichani ni ka pisi
Mambo ya kiutawala tuu mkuuHuyu s alikuwa SACAP mbona hata hajafika DCP Ghafla kawa CP
LAZARO MAMBOSASA mwaka wa 5 huu n DCP na yule kamanda wa mwanza bado DCP hajapanda cheo mwaka wa 3 iweje huyu apande kwa haraka na kuruka cheo kimoja ?
hata huyu Mkunda ametoka kuwa Meja Jenerali kwenda kuwa Jenerali wakati kuna several Lieutenant GeneralsMambo ya kiutawala tuu mkuu
Mbona mabeyo alipaa vyeo viwili juu kabla ya kuwa CDF
Nategemea mjadala wa katiba mpya utakapoanza utaomba mic ๐ค na kutema nyongo ukihoji teuzi z hovyo kama hizi zinajibiwa wapi utaratibu wake katika katiba.Huyu s alikuwa SACAP mbona hata hajafika DCP Ghafla kawa CP
LAZARO MAMBOSASA mwaka wa 5 huu n DCP na yule kamanda wa mwanza bado DCP hajapanda cheo mwaka wa 3 iweje huyu apande kwa haraka na kuruka cheo kimoja ?
Kiagata Sec ALUMINIView attachment 3563140
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama, amepandishwa cheo na kuwa Kamishna wa Polisi, pamoja na kuteuliwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuwa Kamishna wa Polisi Jamii.
Kamishna Mkama ameapishwa rasmi leo, tarehe 26 Machi 2026, na Mkuu wa Jeshi la Polisi, Camillus Wambura.
Kupandishwa cheo na uteuzi huu ni matokeo ya utendaji wake uliotukuka, nidhamu, na mchango wake mkubwa katika kuimarisha usalama na utulivu wa wananchi.
Tunamtakia kila la kheri katika majukumu yake mapya ya kulitumikia taifa.
Hongera sana Kamishna Alex Mkama ๐๐พ๐น๐ฟ
DCP huwa wachache sana huwa wanakiruka....nadhani msemaji wao ndio anakuwa DCP....sacp wanaenda CP moja kwa moja....hata uhamiaji na magereza nimeona wamefanya hivyoHuyu s alikuwa SACAP mbona hata hajafika DCP Ghafla kawa CP