Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Ushamaliza dozi yako?Ukishabikia sanaaaas simba na Yanga akili zinaanza kupungua kichwani.
Vijana Fainali uzeeni.
Msipoteze muda kwenye mamipila.
Hizo simba na Yanga ni mtego wa kisiasa wa selikali na propaganda nyie mnajaa tu.
TANZANIA YANGU.
Haifahamu saikolojia ya michezo.Mchambuzi wa masuala ya kabumbu Alex Ngereza ametia neno kuhusu kambi ya Simba walikoweka Zanzibar:-
"Sijaona sababu ya Simba kwenda kuweka kambi Zanzibar kwasababu zimebaki siku chache kuelekea mchezo dhidi ya Al ahly lakini pia wapo baadhi ya wachezaji muhimu hawapo wameenda kuzitumikia timu zao za taifa kwahio kwenda Zanzibar hakuna faida yoyote kwa Simba zaidi wanaenda kupoteza tu fedha" Alex Ngereza, Mchambuzi wa Soka.
Mwisho wa mezi huu tutapata majibu..Mchambuzi wa masuala ya kabumbu Alex Ngereza ametia neno kuhusu kambi ya Simba walikoweka Zanzibar:-
"Sijaona sababu ya Simba kwenda kuweka kambi Zanzibar kwasababu zimebaki siku chache kuelekea mchezo dhidi ya Al ahly lakini pia wapo baadhi ya wachezaji muhimu hawapo wameenda kuzitumikia timu zao za taifa kwahio kwenda Zanzibar hakuna faida yoyote kwa Simba zaidi wanaenda kupoteza tu fedha" Alex Ngereza, Mchambuzi wa Soka.
Hahahahaha..ushauri wangu kama mpira haukiungiizii kitu achana nao ..Ukishabikia sanaaaas simba na Yanga akili zinaanza kupungua kichwani.
Vijana Fainali uzeeni.
Msipoteze muda kwenye mamipila.
Hizo simba na Yanga ni mtego wa kisiasa wa selikali na propaganda nyie mnajaa tu.
TANZANIA YANGU.
Jamaa anafosi kujulikanaHuyu Ngereza naye ana akili mwezi mchnga. Hv alitaka waweke Kambi wapi? Zanzibar na Dar si zipo Sawa tu? Pesa gani zinaongezeka kwa kwenda Zanzibar jirani hapo? Alitaka wabaki mitaani hadi siku ya mechi. Ushabiki mwingine ni kipuuzi kabisa.
Huko wameenda kujitwisha majiniMchambuzi wa masuala ya kabumbu Alex Ngereza ametia neno kuhusu kambi ya Simba walikoweka Zanzibar:-
"Sijaona sababu ya Simba kwenda kuweka kambi Zanzibar kwasababu zimebaki siku chache kuelekea mchezo dhidi ya Al ahly lakini pia wapo baadhi ya wachezaji muhimu hawapo wameenda kuzitumikia timu zao za taifa kwahio kwenda Zanzibar hakuna faida yoyote kwa Simba zaidi wanaenda kupoteza tu fedha" Alex Ngereza, Mchambuzi wa Soka.
Nioneshe shabiki wa Simba asiye mbumbumbu nikuoneshe konokono aliyrkufa kwa kutembea polepoleWadau nionesheni shabiki wa yanga mwenye akili timau niwaoneshe samaki aliefariki kwa kuzama kwenye maji.
Kwanza hata huyo bosy wake anaemlipa mtu mweny utindio wa ubongo ni ushenz kwanza hana mvuto yaani ovyo bora uwe mkandiaj unaonekanHuyu Ngereza naye ana akili mwezi mchnga. Hv alitaka waweke Kambi wapi? Zanzibar na Dar si zipo Sawa tu? Pesa gani zinaongezeka kwa kwenda Zanzibar jirani hapo? Alitaka wabaki mitaani hadi siku ya mechi. Ushabiki mwingine ni kipuuzi kabisa.
Binafsi nawaunga mkono Simba hata kama hawana wachezaji wote lakini kutoka mazingira yale uliyozoea na kwenda mazingira tofauti kwa ajili ya jambo fulani inasaidia kuamsha upya hisia chanya kuelekea jambo hilo.Mchambuzi wa masuala ya kabumbu Alex Ngereza ametia neno kuhusu kambi ya Simba walikoweka Zanzibar:-