Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,122
- 4,699
Msimu huu waliweka kambi Uturuki wakaishia kugongwa hamsaBinafsi nawaunga mkono Simba hata kama hawana wachezaji wote lakini kutoka mazingira yale uliyozoea na kwenda mazingira tofauti kwa ajili ya jambo fulani inasaidia kuamsha upya hisia chanya kuelekea jambo hilo.
As long as programme ya mwalimu haiharibiki nadhani wako sahihi kwa ajili ya kuwaweka sawa wachezaji na bench zima kisaikolojia zaidi.