Alex Ngereza: Simba wameenda kupoteza pesa Zanzibar

Msimu huu waliweka kambi Uturuki wakaishia kugongwa hamsa
 
Kwani yeye anajua Simba wametoa wapi hizo hela anazosema wanapoteza? Kama hajachangia chochote yeye inamuuma nini?
 
Huyu Alex Ngereza ni kilaza fulani hivi anachojua ni kuzipiga vijembe Simba na Yanga tu ili kujipatia umaarufu wa mchongo.
 
Ukishabikia sanaaaas simba na Yanga akili zinaanza kupungua kichwani.

Vijana Fainali uzeeni.
Msipoteze muda kwenye mamipila.

Hizo simba na Yanga ni mtego wa kisiasa wa selikali na propaganda nyie mnajaa tu.

TANZANIA YANGU.
Ucha kuwapangia watu maisha mzee
 
Kila mwandishi anaandika kumfurahisha GSM, hata kama ameandika upumbavu kama huu
 
Huyo Alex Ngereza ni kilaza fulani hivi ukweli hata mpira wenyewe haujui wala historia ya mpira wa Tanzania haijui,leo nimemsikia anasema kuwa mechi ya Yanga na Mamelod ina trend sana kwa vile Yanga ni timu changa kwenye haya mashindano na ni mara ya kwanza kuingia robo fainali na Mamelod ni miamba ya soka Africa. Sasa kama hajui kuwa Yanga ilishafika robo fainali tena zaidi ya mara moja kwenye mashindano haya huyu utasema ni mchambuzi wa mpira kweli? Hata kumnukuu mpuuzi kama huyu na kumuanzishia thread ni matumizi mabaya ya muda na akili.
 
Huyu Alex Ngereza ni kilaza fulani hivi anachojua ni kuzipiga vijembe Simba na Yanga tu ili kujipatia umaarufu wa mchongo.
Cha ajabu hata huo umaarufu hapatii. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…