Alexander Mnyeti amepata wapi utajiri wa kuinunua TCC CLUB ya Chang'ombe?

Alexander Mnyeti amepata wapi utajiri wa kuinunua TCC CLUB ya Chang'ombe?

Mkuu si tuambieni tu Mnyeti alikotoa hela , kigugumizi cha nini
Alipokuwa RC Manyara, ninachojua alitengeneza mazingira ya kuogopwa ili apige Rushwa! Kwa hali ambayo iko machimboni ni dhahiri rushwa haikwepeki hapo ndipo alipotokea. ilikuwa hakauki weekend kuwepo Mirerani iwe mvua iwe jua na wakati mwingine alikuwa kama anakwenda kwa ambush ili kutengeneza mazingira mazuri zaidi ya Rushwa, three times nimewahi kumshuhudia akitokea amepiga kofia ya pama, mgolole na pensi akisoma mazingira lkn kimsingi alikuwa anatengeneza mazingira ya kuogopwa ili once akimtokea mtoroshaji mmoja madini anapiga deal nene!!
 
Sabaya…bilionea
Bashite…bilionea
Mnyeti …bilionea
Hapi…???
…hii ni hatari!
Madc na Marc walifaidi chini ya jiwe!
WALIJIGAWIA CHOCHOTE WAPENDACHO HUKU WAKIWAUMIZA WENGINE, WALIKWAPUA WAPENDAVYO NCHI ILIKUWA YAO WANA KIKUNDI NYAKATI HIZO!
 
Ungeweka na kiasi chapesa kilicho tumika kununua hiyo Clab.

Tupime kama angeweza kuwanazo.
Tumia akili mara nyingine, siyo lazima uwe mjinga mara zote. Ile property ya TCC Club siyo lazima uone risiti ambazo Mnyeti amenunulia, valuation ya ardhi inatosha kukupa picha
 
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.

Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Aliachiwa urithi na mjomba wake dhalim mwendazake
 
Back
Top Bottom