Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Mtajitaja sana humu.Hahaaaa hata mimi ni bwabwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtajitaja sana humu.Hahaaaa hata mimi ni bwabwa
Nchi hii kiongozi wa serikalini ni zaidi ya mfanyabiashara....
Hana kiwanda, hana biashara inayomuingizia pesa lakini cha ajabu akaunt yake ina hela za kutosha,na ma asset kibao tofauti na kipato chake....
Ova
Hivi umewahi kufikia hili ?Hapa naona kama kuna ukweli. Vijana wa Magu wote matajiri kwa sasa
Kalemani hajashindwa kazi mpaka dakika hii.Hivi umewahi kufikia hili ?
Hata Muhongo ukiachana matatizo yake binafsi, wakati anachaguliwa kukaa Nishati na Madini ilikuwa ni kuwa kivuli tu ili kupunguza kelele.
Waziri halisi wa Magu kwenye hiyo wizara alikuwa Medard Kalemani, ila Magu angemteua directly tena mwanzoni kelele zingekuwa nyingi.
Ila baadaye alimtumbua Muhongo, Kalemani akashika usukani bila kelele nyingi. Kalemani ndio mrithi wa Chato.
Sasa imagine kwanini alimtumbua Muhongo, akamwacha Kalemani wakati huyo Kalemani ndio alikuwa mwanasheria wa TANESCO wakati Muhongo anazingua ?
Alipiga pesa ndefu sn pale MireraniHuyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Ana utajiri wa kupindukia haswaHuyu ana mali nyingi aziendani na kipato chake ndio ambao meko alifichia hela zetu achunguzwe nae
Weeee !! Sema Thuuu .Ana utajiri wa kupindukia haswa
Kabeba Sana madini ya tanzanite alipokuwa RC mkoa wa ManyaraHuyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Yes yes anavitalu vya madini, alishirikiana sana na mwendazake kupigaMambo ya Manyara na tanzanite?
Labda alitumia fursaHuyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
ndiye alikuwa mbeba mikoba ya marehemu, hivyo alikuwa na masalio kibao ya mzee kwa sasa anachomoa kidogokidogo bila watu kuelewaHuyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.
Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
😂😂😂😂😂Yes yes anavitalu vya madini, alishirikiana sana na mwendazake kupiga
Aiseeee !!!Kabeba Sana madini ya tanzanite alipokuwa RC mkoa wa Manyara
Jifunze kujifunzaUwekezaji mkubwa kama huo haufanyiki na fedha za mfukoni...tengeneza project plan kachukue hela benki ufanye biashara.Acha kusaga chawa wenzio wanazidi kutoka