Alexander Mnyeti amepata wapi utajiri wa kuinunua TCC CLUB ya Chang'ombe?

Nchi hii kiongozi wa serikalini ni zaidi ya mfanyabiashara....
Hana kiwanda, hana biashara inayomuingizia pesa lakini cha ajabu akaunt yake ina hela za kutosha,na ma asset kibao tofauti na kipato chake....

Ova

Ela za ndumba
 
Hapa naona kama kuna ukweli. Vijana wa Magu wote matajiri kwa sasa
Hivi umewahi kufikia hili ?

Hata Muhongo ukiachana matatizo yake binafsi, wakati anachaguliwa kukaa Nishati na Madini ilikuwa ni kuwa kivuli tu ili kupunguza kelele.

Waziri halisi wa Magu kwenye hiyo wizara alikuwa Medard Kalemani, ila Magu angemteua directly tena mwanzoni kelele zingekuwa nyingi.

Ila baadaye alimtumbua Muhongo, Kalemani akashika usukani bila kelele nyingi. Kalemani ndio mrithi wa Chato.

Sasa imagine kwanini alimtumbua Muhongo, akamwacha Kalemani wakati huyo Kalemani ndio alikuwa mwanasheria wa TANESCO wakati Muhongo anazingua ?
 
Kalemani hajashindwa kazi mpaka dakika hii.
 
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.

Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Alipiga pesa ndefu sn pale Mirerani
 
Kabeba Sana madini ya tanzanite alipokuwa RC mkoa wa Manyara
 
Chini ya hizi serikali mbalimbali za ccm lazima kila utawala uwe na mafisadi wake na huyu Mnyeti yeye ni wa utawala wa dikteta Magufuli.

Alitumia usukuma wake kwenye utawala wa kiimla wa Magufuli kupora mali. That's all.
 
Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia.

Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na kutengeneza hostel yenye gym ndani yake kwa ajili ya Timu yake ya Gwambina, tunampongeza kwa uwekezaji huo, bali swali letu ni hili, AMEPATA WAPI LUNDO HILO LA HELA LA KUWEZESHA YOTE HAYA?
Labda alitumia fursa
 
ndiye alikuwa mbeba mikoba ya marehemu, hivyo alikuwa na masalio kibao ya mzee kwa sasa anachomoa kidogokidogo bila watu kuelewa
 
Uwekezaji mkubwa kama huo haufanyiki na fedha za mfukoni...tengeneza project plan kachukue hela benki ufanye biashara.Acha kusaga chawa wenzio wanazidi kutoka
 
Huyu jamaa na mwendazake wameoa nyumba Moja fuko lote la wezi wa Madini manyara na kuhonga WAPINZANI kina Nassari alikuwa nalo yeye lazima tuhoji pesa alizopataje muda utaamua lakini TCC CLUB BADO NI YETU AMETUSHIKIA KWA MUDA
 
Uwekezaji mkubwa kama huo haufanyiki na fedha za mfukoni...tengeneza project plan kachukue hela benki ufanye biashara.Acha kusaga chawa wenzio wanazidi kutoka
Jifunze kujifunza
 
Hawa waliiba na kudhulumu Sana utawala magufuli, huyu makonda, sabaya, na baadhi, walitumia vizuri kufanya uhalifu kupitia kuwa karibu na baba ubaya
 
Back
Top Bottom