Alexander Mnyeti Maji ya Shingo, miradi yake yaanza kufa mmoja baada ya mwingine

Huwa hawana ujanja hawa wa kuishi nje ya ofisi. Ofisi zao ndizo huwa zinaendesha biashara na sio biashara zinajiendesha.
Thus yule wa mabasi 60 akiwa bench na timu Ina shuka daraja.
Mabus ya buffalo yapo wapi? Scandinavian yapo wapi? Mfumo ukiwatupa na biashara ufa.
 
Huwa hawana ujanja hawa wa kuishi nje ya ofisi. Ofisi zao ndizo huwa zinaendesha biashara na sio biashara zinajiendesha.
Thus yule wa mabasi 60 akiwa bench na timu Ina shuka daraja.
Mabus ya buffalo yapo wapi? Mfumo ukiwatupa na biashara ufa.
Hivi Buffalo yalikuwa mabasi ya nani ?
 
Kuna kigogo tumemuona anapitapita hapa jimboni!! Ajipange vizuri!!

Na sisi tumemchoka na vitimbi vyake!!
Mhe DC kutoka huko Mkoa wa Morogoro njoo utuondolee huu mzigo..
 
sio kwamba kafilisika ila ni kwamba timu ya gwambina imezuiwa kuutumia uwanja wake wa nyumbani. hali ambayo imefanya gwambina kugomea kutumia uwanja wa ugenii kmashindano ya ligi daraja la kwanza
 
Acha mvua iendelee kunyesha. Sehemu zote zinazovuja zitaonekana tu! Na hapa ni wao kwa wao tu. Sipati picha siku Chama kingine kikishika hatamu za uongozi wa nchi. Tutakuja kushuhudia madudu ya kutisha sana. Kuna watu watatamani ardhi ipasuke iwameze.
 
Huwezi kufanikiwa maisha yako binafsi kwa kuwachukia waliofanikiwa kwenye maisha yao binafsi

Hii ndo tunasema uchawi wa bila mizizi
 
Utajiri wa Halali hatuna shida nao , hoja ni ile ile kwanini wafilisike baada ya waliokuwa viongozi kufa ?
Ndio, maisha yalivyo kuna kupanda na kushuka, umewahi kujiuliza Yanga walitembeza bakuli karibu awamu yote ya tano, na sasa awamu ya sita wanalamba asali?
 
Alimhujumu rafiki yangu Mawe Matatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…