Alexander Mnyeti Maji ya Shingo, miradi yake yaanza kufa mmoja baada ya mwingine

Alexander Mnyeti Maji ya Shingo, miradi yake yaanza kufa mmoja baada ya mwingine

Mnyeti ni mtu wa hovyo sana. Nilikuwa namuamini ila Kwa sasa No jamaa Hana skills za uongozi. Yupo kipumbavu sana
 
Masikini hufurahia kufilisika kwa matajiri!
Si suala la maskini kufurahi anguko la tajiri,bali nafasi yao na utendaji wao ndiyo unao sababisha watu wamjadili,ukiondoa Makonda,Sabaya aliyefuatia hapo alikuwa Mnyeti,mtu jasiri wa roho mbaya na mjivuni asiye na haya. Its matter of nature.
 
Ilikuwa bahati yake ila sasa imebadilika mtu unarudi kwenye kiwango chake cha maisha. Mh alisema Mahele aende akateteme kwao uko Kongo..hapo ndio nilitambua kuwa Magu alituvuruga kutulitea watu wasiokuwa na sifa. Ilibidi Wazir wa Mambo ya Nje kuomba radhi kwa kauli ile ...kwa iyo lisemwalo lipo..
 
Kila mtu ana bahati yake. Ila kibur sio kizur pata maisha kuwa kawada tu watu watakuelewa vzr sana. Mh alimzingua mpka Mayele anasema akateteme uko kwao Kongo hii haikuwa sawa.
 
Ni rasmi sasa bwana Mnyeti mambo yameanza kumkalia kinyume.

Bwana Mnyeti ambaye ni mmiliki wa timu ya Gwambina sasa rasmi ameitosa hiyo timu.

Baada ya kuona mianya aliyokuwa anaitumia kumuliki mambo yake inakwama sasa ameamua kujitoa ktk harakati za kuimiliki timu ya soka ya Gwambina fc.

Wachezaji wa timu hiyo Jana waliambiwa kuwa wapo huru kujitafutia malisho mahali pengine.

Huo ndiyo mwanzo wa watu maarufu kubwaga manyanga maana vya kuchinja hawaviwezi.
 
Ni lasmi sasa bwana Mnyeti mambo yameanza kumkalia kinyume.

Bwana Mnyeti ambaye ni mmiliki wa timu ya Gwambina sasa rasmi ameitosa hiyo timu.

Baada ya kuona mianya aliyokuwa anaitumia kumuliki mambo yake inakwama sasa ameamua kujitoa ktk harakati za kuimiliki timu ya soka ya Gwambina fc.

Wachezaji wa timu hiyo Jana waliambiwa kuwa wapo huru kujitafutia malisho mahali pengine.

Huo ndiyo mwanzo wa watu maarufu kubwaga manyanga maana vya kuchinja hawaviwezi.
Hivi mnyeti alikuwa nani vile? Nasahau kidogo
 
Back
Top Bottom