Algeria kesho jumanne wanacheza mechi ya kirafiki na Tunisia, kwanini Mwarabu hapoi wakati ameshafuzu

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Kama kweli tunahitaji kufuzu Afcon basi kazi ya ziada ifanyike maana wenzetu licha ya kufuzu lakn kesho jumanne wana ratiba ya kucheza friend match na Tunisia, sisi huku tumeshavunja kambi na kila mtu na lake.

Hii ndio tofauti kati yetu na wao.

Sisi huku wachezaji wanakwenda zanzibar kumsapoti Fei Toto kwenye mchezo wa kuchangisha wanawake wajawazito badala ya viongozi kuwa na mkakati mzito wa kuikabili Algeria ambao kiukweli na bila unafiki tukienda kucheza mchezo kama ule tuliocheza na Niger, nchi itaingia majaribuni sana.
 
Usiwasanue we waache tu. Wataitana siku 3 kabla ya safari na ndege watapewa. Waalgeria watawafurahisha.

Algeria na Tunisia ni kama wapinzani wa jadi lakini wamepanga mechi yao siku mbili baada ya wote wawili kucheza. Inaonyesha vikosi vitakavyocheza mechi hii siyo vilivyocheza juzi kwenye AFCON kwa sababu wote walicheza away, kwa hiyo walikuwa na kambi mbili kwa wakati mmoja. Wenzetu hawataki utani.
 
Ushawauliza tff kuhusu ratiba kamili ya Taifa Stars!?
 
Usiwasanue we waache tu. Wataitana siku 3 kabla ya safari na ndege watapewa. Waalgeria watawafurahisha.

Algeria na Tunisia ni kama wapinzani wa jadi lakini wamepanga mechi yao siku mbili baada ya wote wawili kucheza. Inaonyesha vikosi vitakavyocheza mechi hii siyo vilivyocheza juzi kwenye AFCON kwa sababu wote walicheza away, kwa hiyo walikuwa na kambi mbili kwa wakati mmoja. Wenzetu hawataki utani.
Asante Kwa kunisanua nishajua Hela yangu nampa nani!
 
Back
Top Bottom