Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kama kweli tunahitaji kufuzu Afcon basi kazi ya ziada ifanyike maana wenzetu licha ya kufuzu lakn kesho jumanne wana ratiba ya kucheza friend match na Tunisia, sisi huku tumeshavunja kambi na kila mtu na lake.
Hii ndio tofauti kati yetu na wao.
Sisi huku wachezaji wanakwenda zanzibar kumsapoti Fei Toto kwenye mchezo wa kuchangisha wanawake wajawazito badala ya viongozi kuwa na mkakati mzito wa kuikabili Algeria ambao kiukweli na bila unafiki tukienda kucheza mchezo kama ule tuliocheza na Niger, nchi itaingia majaribuni sana.