Algeria: Vijana wasio na ajira kuanza kulipwa

Algeria: Vijana wasio na ajira kuanza kulipwa

Yeye ni nani mpaka akatae pesa anatoa yeye?
Unayakumbuka ya kanal Muammar Gaddafi,Marekani ni ibilisi mzee hataki huku kwetu tupike pilau tukae mezani kujipongeza anataka tuwe omba omba milele na milele daima.
 
Nchi yenye asali na maziwa kuanzia, gesi, madini, mbuga za wanyama, mlima wa Kilimanjaro, maziwa, ardhi ya rutuba na blue economy tunakwama wapi?
Shida sio kuwa hivyo vyote, shida ni kiwa na viongozi wenye akili . Kuwa na rasilimali pasipo kuwa na viongozi wenye akili za kuzisimamia na kuzitumia kwa manufaa ya nchi yake ni sawa na kuweka dhahabu kwenye pua ya nguruwe.

NB: sina maana kuwa viongozi hawana akili
 
Nchi yenye asali na maziwa kuanzia, gesi, madini, mbuga za wanyama, mlima wa Kilimanjaro, maziwa, ardhi ya rutuba na blue economy tunakwama wapi?
Serekali ya Tanzania haina investment endelevu yoyote ambayo inawezesha kuwa na uwezo kama huo
 
Algeria ni kubwa kwa Tanzania kieneo mara 2.5 ila ina watu wachache mno..nadhan milion 9, hata Rwanda (12.m) ina raia wengi kuwazidi. Hata hapa kwetu, Tanzania ingeweza kuwa na jeuri hiyo kama ingekuwa na population ya watu milion 5
 
Nadhan kwenye inshu ya eneo upo sahihi mkuu ila wana idadi ya watu kama milion 47.

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Tuuze migodi yote kule bully,mererani,na mbuga, zote gesi tuuze maziwa yote tuwauze matajiri wote tuwauze wachaga wote.
😂😂😂 ila kweli,,, bora tuwauze wachaga wote na mikoa yao ya kaskazini alafu wasio na ajira walipwe posho, na wasio na bima ya afya wapatiwe matibabu Free.
 
Back
Top Bottom