Unayakumbuka ya kanal Muammar Gaddafi,Marekani ni ibilisi mzee hataki huku kwetu tupike pilau tukae mezani kujipongeza anataka tuwe omba omba milele na milele daima.Yeye ni nani mpaka akatae pesa anatoa yeye?
Ndio Najua ndo mana nampongezaSio Rais wako kijana
Haya twende zetu Aligiers tuka 230000Ndio Najua ndo mana nampongeza
Ngoja tuvunje kikoba tupate nauli maana tukienda haturudi tena hukuHaya twende zetu Aligiers tuka 230000
Shida sio kuwa hivyo vyote, shida ni kiwa na viongozi wenye akili . Kuwa na rasilimali pasipo kuwa na viongozi wenye akili za kuzisimamia na kuzitumia kwa manufaa ya nchi yake ni sawa na kuweka dhahabu kwenye pua ya nguruwe.Nchi yenye asali na maziwa kuanzia, gesi, madini, mbuga za wanyama, mlima wa Kilimanjaro, maziwa, ardhi ya rutuba na blue economy tunakwama wapi?
Nangoja kwa hamu sana.Ngoja tuvunje kikoba tupate nauli maana tukienda haturudi tena huku
Usikate Tamaa mkuu!Labda tuuze nchi kwanza.
Labda kizazi cha 50 mbele huko kakaUsikate Tamaa mkuu!
Penye nia pana njia...
mie naona tuiuze bagamoyo kwanza, kama pesa haitatosha tuiuze ZanzibarππππLabda tuuze nchi kwanza.
Serekali ya Tanzania haina investment endelevu yoyote ambayo inawezesha kuwa na uwezo kama huoNchi yenye asali na maziwa kuanzia, gesi, madini, mbuga za wanyama, mlima wa Kilimanjaro, maziwa, ardhi ya rutuba na blue economy tunakwama wapi?
Nadhan kwenye inshu ya eneo upo sahihi mkuu ila wana idadi ya watu kama milion 47.Algeria ni kubwa kwa Tanzania kieneo mara 2.5 ila ina watu wachache mno..nadhan milion 9, hata Rwanda (12.m) ina raia wengi kuwazidi. Hata hapa kwetu, Tanzania ingeweza kuwa na jeuri hiyo kama ingekuwa na population ya watu milion 5
ni kweli bwana song, nimechanganya, ni Libya ndio ina watu kati ya milion 6-9 licha ya ukubwa wake...4th biggest country in africa baada ya algeria.Nadhan kwenye inshu ya eneo upo sahihi mkuu ila wana idadi ya watu kama milion 47.
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Tuuze migodi yote kule bully,mererani,na mbuga, zote gesi tuuze maziwa yote tuwauze matajiri wote tuwauze wachaga wote.mie naona tuiuze bagamoyo kwanza, kama pesa haitatosha tuiuze Zanzibarππππ
πππ ila kweli,,, bora tuwauze wachaga wote na mikoa yao ya kaskazini alafu wasio na ajira walipwe posho, na wasio na bima ya afya wapatiwe matibabu Free.Tuuze migodi yote kule bully,mererani,na mbuga, zote gesi tuuze maziwa yote tuwauze matajiri wote tuwauze wachaga wote.