Algeria vs taifa stars

Senetor! Kwani mechi ya stars si kesho?? Data zangu zinaonyesha mechi kesho, I am not real sure with my data
I'll be updating u..game inaanza saa6 kamili ipo live kwa TB ya c kwa bongo
 
Dah wanaongea kiarabu hapa sijui itakuwaje ni sawa na kuangalia mpira kama kiziwi vile!! ngoja tuone TBC wanafanya maarifa.Waarabu wameshafuturu kwa sasa
 
Mpira umeanza hapa wa tz wameanza kusukuma gozi
 
So far so good,vijana wamefanikiwa kuabsorb presha ya walgeria ,baada ya kuelemewa mwanzoni the game is balanced now
 
Leo sijui itakuwa je maana jamaa wamesha tubana...
 
So far so good,vijana wamefanikiwa kuabsorb presha ya walgeria ,baada ya kuelemewa mwanzoni the game is balanced now
sijui vgezo vipi unavitumia lakini mimi naona jamaa wametubana yaani sisi tuna kibia kimbia kuukimbiza mpira.......
 
Ila wachezaji wetu wanacheza sana fulo za kuruka six nina wasiwasi kama wataweza kumaliza bila mtu kupewa red card
 
Mh jamani lakini na huyu refa ni too much. Nyingine hata si faulo
 
Bongo wanapiga faulo hapa kama mida 25 hviwayaaaaaaaaaaaaaaaaaa goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal
 
Goooooooooooooooooooooooooooooooooo dakika 32
 
Bongo wanapata goal hapa dah tamu kweli kama ronaldo enzi zake akiwa manutd
 
Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo


ABDI KASSIM anaandika baoooooooooooooooooooooooooo
 
waraabu wana haha hapa kutaka kurejesha!! ngoja nikachukue bia nyingine dah kumbe twaweza kula tende na halua hapa
 
Chupuchupu wamatumbi tuweke la pili dah waarabu wanacomment kwa upo kweli wiii wii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…