Algeria vs taifa stars

Algeria vs taifa stars

Ila naamini sasa refa yuko biased yaani faulo twachezewa sie kisha mpira waenda kwetu?

Nyingine mrwanda anachezewa kisha anapeta , mhhh hayuko fair kabisa

anaweza kuwapa hata penati ya hovyohovyoo

nahis

bongo imeweka shambilizi kiali

timu imebadilika sana
 
Bongo wanapiga pasi mpaka rahaaaaaaaaaaaaa

to hellllll ma pessimistics wa soka letuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
nice goal wamechomoa waarabu hapa ngoma ipo level
 
Goli limeamsha vuvuzela za waarabu zilizokuwa zimelala
 
Mambo ya Jabulani mpira ume-change direction, sio kosa la kipa.....
 
Huwezi kumwita mzembe mana hakutegemea ule mpira kwa umbali ule na magoli kama haya yanafungwa sana hata kwenye WC
Hakutengemea!?..Ukweli ni kwamba afungwa goli zuri hatupaswi kumlaumu mpaka sasa amejitahidi ingawa kuna makosa kama tatu hizi ameyafanya sema jamaa nao hawakuwa wazuri kumalizia..
 
haya haya tunaanza ngwe ya pili hapa siju draw halali yetu au twaweza kula zabibu?!
 
Jamaa wameanza na presha kali sana kama wakitukosa ndani ya dkka 15 wameliwa
 
Back
Top Bottom