mi website yenyewe ya kihuni hakuna hata linaloonesha game hapa
Huwezi kumwita mzembe mana hakutegemea ule mpira kwa umbali ule na magoli kama haya yanafungwa sana hata kwenye WCgolikipa wetu hovyo sana!
Hakutengemea!?..Ukweli ni kwamba afungwa goli zuri hatupaswi kumlaumu mpaka sasa amejitahidi ingawa kuna makosa kama tatu hizi ameyafanya sema jamaa nao hawakuwa wazuri kumalizia..Huwezi kumwita mzembe mana hakutegemea ule mpira kwa umbali ule na magoli kama haya yanafungwa sana hata kwenye WC
golikipa wetu hovyo sana!