Algeria vs taifa stars

Mmmh! Kwa mpira huu, ngoja niwahi kulala. Maana sitamani kushudia kipigo cha mbwa mwizi hapa.
 
good game, shida ni kipa naona kama anaona mpira kitofauti, anakatika sana
 
wow! thanks golikeeper kwa kuokoa hiyo hatari
 
Mmmh! Kwa mpira huu, ngoja niwahi kulala. Maana sitamani kushudia kipigo cha mbwa mwizi hapa.
hawana kitu hawa... tena kado akitoka ndo kabisaa dronu
 
Jabir aziz anaingia badala ya mtu, nahisi ni nurdin bakari
 
waliomponda golikeeper, mimi simo. Nadhani anajitahidi sana huyu golikipa
 
nasubiria kujua hatma yetu ila naona kama huu mpira sare itakuwa ahueni kwetu..tukipata ushindi itakuwa bonus kwetu!!
 
Waarabu wemeona kuipita gome ya stars ni vigumu hivyo wanafumua mashuti tu...kado anakazi
 
hawana kitu hawa... tena kado akitoka ndo kabisaa dronu

Nasikia hawana utaratibu wa kufungwa nyumbani. Labda watanzania tuwe wa kwanza kuvunja huo mwiko.
 
hawana kitu hawa... tena kado akitoka ndo kabisaa dronu
Acid huko ulipo ndo kumekucha nini?! au mtandao nao mashaka!! hapo bolded unamaanisha draw au?
 
Centre forward wetu ni ngassa and yet wanampelekea mipira ya juu sijui wanategemea nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…