once again... Kado kanitoa nishaigood game, shida ni kipa naona kama anaona mpira kitofauti, anakatika sana
halafu hawa warabu m@vi kweli... sijaona hata replay ya goli letu.... i hate this unfairness
kwa kweli anastahili pongezi za ajabu maana hata angekuwa nani asinge save kama huyu golie maana kanifanya nijisike furaha kubwa kuwa na golie kama huyu nadhani kama ingekuwa ndiyo usaili wake kwenda pale Old Trafooooooooord mzee asingemuachaKado bonge la nyandaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
hawa jamaa si wanatokana na yule firauniiii kwani umesahau mkuu mafirauni woooooooooote nchi nzima
Vipi Zanzibar, mlikuwa mnacheza na nani leo?Kiwango kibovu labda kwa sababu mechi ya ugenini, ila kuna kitu kimeongezeka kwa wachezaji wa Stars, wana ari, wanajituma...marekebisho kidogo tu, kwa mechi za nyumbani wakijiamini zaidi basi safari ya E.Guinea itakuwapo, hongereni Stars
walionekana kulinda sana staz labda kwa sababu mechi ya ugenini, ila kuna kitu kimeongezeka kwa wachezaji wa Stars, wana ari, wanajituma...marekebisho kidogo tu, kwa mechi za nyumbani wakijiamini zaidi basi safari ya E.Guinea itakuwapo, hongereni Stars