Algeria vs taifa stars

Algeria vs taifa stars

Hata kwenye michezo hamuwachi ujinga wenu? mi naangalia hapa kwenye channel yao wana replay magoli yote na stats za mchezo wote...acheni hizooo!!!

kwani na wewe ni mwarabu lililokukera hapo ni lipi, huna mahusiano nao au wamekuoleeni acha kujipendekeza wewe ebo mtu mzima
unakuwa hivyo we mmakonde wa visiwani wapi na wapi na waarabu
 
Aliyefunga goli la tanzania ni nani na anacheza timu gani bongo?

je kipa anacheza timu gani bongo ?
 
kipa anatoka Tiger ya kule Rukwa nadhani
na yule mfungaji wa goli la tz anachezea Tukuyu staz kule mbeya heeeee heeeee kama sijakosea ni hivyo
 
Vipi Zanzibar, mlikuwa mnacheza na nani leo?

Chelsea usimdhihaki namna hiyo ndugu Junius ,au hujui aliyefunga bao la TANZANIA kijana Abdi Kassim "Baby"ni Mtumbatu wa Raha leo?ZNZ wametoa mchango mkubwa sana kwenye sare ya leo bana!
 
kwani na wewe ni mwarabu lililokukera hapo ni lipi, huna mahusiano nao au wamekuoleeni acha kujipendekeza wewe ebo mtu mzima
unakuwa hivyo we mmakonde wa visiwani wapi na wapi na waarabu
Kilichonikera uzushi kuwa hawaja replay goli la Tanzania, ndo kwanza channel yao imemaliza uchambuzi wa mchezo mi mechi nimeiona kipindi cha pili magoli nimeyaona kwenye replay, uhusino na waarabu ninao nimeowa kwa waarabu.

kwikwikwiiiiiii tehe tehe heeeee ahaaaaaa haaaaaa heeee watu bwana wanajua kujipendekeza kwa waaarabu hao mafirauni tu
Aibu, hakuna uhusiano wa waarabu na firauni, firauni walikuwa waafrika ha ha ha ha ha!!!
 
Mkuu wewe unatumia link gani hiyo ya kiingereza, au huko TBC1 wanatumia english??

ha ha haaaaaaaaa la francais du form une et deux' miaka karibu 20 iliyopita ndo chanisaidia

Je m'appelle matambo, Comment t'appelles-tu ?
enchante'
 
Aliyefunga goli la tanzania ni nani na anacheza timu gani bongo?

je kipa anacheza timu gani bongo ?

Mzee;
aliyetufungia bao anaitwa Abdi Kassim "bebi",ni Mtz anayetokea visiwa vya Unguja-ZNZ na anachezea timu ya Yanga ya Dar,na Golikipa ni Shaaban Kaddo yeye anachezea Mtibwa Sugar ya Turiani-Morogoro!
 
Aibu, hakuna uhusiano wa waarabu na firauni, firauni walikuwa waafrika ha ha ha ha ha!!!

Junius;

Naoma ufafanuzi wako,wale Mafirauni wa Misri ya kale ina maana hawakuwa waarab?
 
Kilichonikera uzushi kuwa hawaja replay goli la Tanzania, ndo kwanza channel yao imemaliza uchambuzi wa mchezo mi mechi nimeiona kipindi cha pili magoli nimeyaona kwenye replay, uhusino na waarabu ninao nimeowa kwa waarabu.

Aibu, hakuna uhusiano wa waarabu na firauni, firauni walikuwa waafrika ha ha ha ha ha!!!

kwani waarabu wote ni weusi hahaaaaaaa umejikuna mgongo mwenyewe heheeeeee aaaaaa mahoka, huna jipya
 
Nianze kwa kumpongeza Maximo kwa kusaidia kukuza soka letu na kujenga msingi imara wa timu tuliyonayo sasa pia kupongeza kocha mpya Poulsen kwa kuwahamasisha wachezaji wetu kujituma kwa nchi yetu. Kwa kifupi hii ni moja ya best performance ya Stars away from home maana tumecheza vizuri sana hasa kipindi cha kwanza, wachezaji wanajituma na kujiamini na kipa Kado leo kwangu ndio man of the match. Waarabu wamemiliki sana mpira ila ngome ya stars leo ilikuwa imara na refu wa leo toka kule Togo amenitia kichefuchefu mpaka basi kumbe ndio maana soka Afrika halikuwi kama marefa wenyewe ndio hawa. Bao letu kafunga Abdi Kassim "Babi" kwa chuti la chini chini umbali wa mita kama 35 baada ya Ngassa kuangushwa eneo la hatari na dakika chache baadaye waarabu wakasawazisha kwa shuti la mbali lililomsginda Kado ambaye hakutegemea na pia upepo ulibadili mwelekea wa shuti na kujaa wavuni. Ngassa na Mrwanda wamejitahidi sana kupeleka mbele mashambulizi ya kushtukiza huku pale kati Nizar na Henry Joseph walijaribu kupungusa makali ya viungo wa Algeria. Stephani Mwasika kacheza vizuri sana beki ya kushoto na pale kati kama kawaida Nadir amecheza safi. Kwa kweli tukikaza buti namna hii hasa mechi za nyumbani kuna matumaini ya kuiona Gabon 2012 hongera sana Stars for a well deserved point away from home...
 
kipa anatoka Tiger ya kule Rukwa nadhani
na yule mfungaji wa goli la tz anachezea Tukuyu staz kule mbeya heeeee heeeee kama sijakosea ni hivyo
ha!ha!ha!...Kumbe Tukuyu ipo...hizi timu toka enzi za mwalimu!!
...au hujui aliyefunga bao la TANZANIA kijana Abdi Kassim "Baby"ni Mtumbatu wa Raha leo?ZNZ wametoa mchango mkubwa sana kwenye sare ya leo bana!
Baby alikuwa anachezea kwa waarabu...ha ha ha ha ha ha ha!!!
 
Mzee;
aliyetufungia bao anaitwa Abdi Kassim "bebi",ni Mtz anayetokea visiwa vya Unguja-ZNZ na anachezea timu ya Yanga ya Dar,na Golikipa ni Shaaban Kaddo yeye anachezea Mtibwa Sugar ya Turiani-Morogoro!

Ahsante malafyale ,sasa umoja wa watanzania unajionyesha kweye mpira TZ na Zanzibar.

God bless Tanzania!
 
Nao ZNZ wakiongozwa na Waziri Shamhuna wamekwisha kwenda Zurich yalipo makao makuu ya FIFA wakiomba wawe wanachama huru ili wapeleke timu yao kwenye mashindano ya AFRICA na KOMBE LA DUNIA;wanataka kutambulika kama shirikisho huru la soka na wao!
 
Nianze kwa kumpongeza Maximo kwa kusaidia kukuza soka letu na kujenga msingi imara wa timu tuliyonayo sasa pia kupongeza kocha mpya Poulsen kwa kuwahamasisha wachezaji wetu kujituma kwa nchi yetu. Kwa kifupi hii ni moja ya best performance ya Stars away from home maana tumecheza vizuri sana hasa kipindi cha kwanza, wachezaji wanajituma na kujiamini na kipa Kado leo kwangu ndio man of the match. Waarabu wamemiliki sana mpira ila ngome ya stars leo ilikuwa imara na refu wa leo toka kule Togo amenitia kichefuchefu mpaka basi kumbe ndio maana soka Afrika halikuwi kama marefa wenyewe ndio hawa. Bao letu kafunga Abdi Kassim "Babi" kwa chuti la chini chini umbali wa mita kama 35 baada ya Ngassa kuangushwa eneo la hatari na dakika chache baadaye waarabu wakasawazisha kwa shuti la mbali lililomsginda Kado ambaye hakutegemea na pia upepo ulibadili mwelekea wa shuti na kujaa wavuni. Ngassa na Mrwanda wamejitahidi sana kupeleka mbele mashambulizi ya kushtukiza huku pale kati Nizar na Henry Joseph walijaribu kupungusa makali ya viungo wa Algeria. Stephani Mwasika kacheza vizuri sana beki ya kushoto na pale kati kama kawaida Nadir amecheza safi. Kwa kweli tukikaza buti namna hii hasa mechi za nyumbani kuna matumaini ya kuiona Gabon 2012 hongera sana Stars for a well deserved point away from home...
asante sana ndugu Mfukunyuzi kwa takribani dakika 3, 4 hivi za jinsi ulivyoweza kutoa tathmini nzuri sana hapa tangu umeingia jf eeeee
ama kwa hakika ni tathmini nzuri sana iliyojaa uchambuzi wa soka kwa uzalendo mkubwa eeeee
 
Naona unajizungusha...vitu fulani vinakukereketa, kohowa mkuu usifice kikohozi ha ha ha ha ha!!
hapa huna jipya, labda weye ndiyo wakeleketwa na kihoro maana unavyojipendekeza kwa waarabu
wewe mmakonde na warabu wapi?
 
Back
Top Bottom