Vipi Zanzibar, mlikuwa mnacheza na nani leo?
Hata kwenye michezo hamuwachi ujinga wenu? mi naangalia hapa kwenye channel yao wana replay magoli yote na stats za mchezo wote...acheni hizooo!!!
kwikwikwiiiiiii tehe tehe heeeee ahaaaaaa haaaaaa heeee watu bwana wanajua kujipendekeza kwa waaarabu hao mafirauni tukumbe kimekuganda kunya basi...!!!
Aliyefunga goli la tanzania ni nani na anacheza timu gani bongo?
je kipa anacheza timu gani bongo ?
Vipi Zanzibar, mlikuwa mnacheza na nani leo?
Kilichonikera uzushi kuwa hawaja replay goli la Tanzania, ndo kwanza channel yao imemaliza uchambuzi wa mchezo mi mechi nimeiona kipindi cha pili magoli nimeyaona kwenye replay, uhusino na waarabu ninao nimeowa kwa waarabu.kwani na wewe ni mwarabu lililokukera hapo ni lipi, huna mahusiano nao au wamekuoleeni acha kujipendekeza wewe ebo mtu mzima
unakuwa hivyo we mmakonde wa visiwani wapi na wapi na waarabu
Aibu, hakuna uhusiano wa waarabu na firauni, firauni walikuwa waafrika ha ha ha ha ha!!!kwikwikwiiiiiii tehe tehe heeeee ahaaaaaa haaaaaa heeee watu bwana wanajua kujipendekeza kwa waaarabu hao mafirauni tu
Mkuu wewe unatumia link gani hiyo ya kiingereza, au huko TBC1 wanatumia english??
Aliyefunga goli la tanzania ni nani na anacheza timu gani bongo?
je kipa anacheza timu gani bongo ?
Aibu, hakuna uhusiano wa waarabu na firauni, firauni walikuwa waafrika ha ha ha ha ha!!!
Kilichonikera uzushi kuwa hawaja replay goli la Tanzania, ndo kwanza channel yao imemaliza uchambuzi wa mchezo mi mechi nimeiona kipindi cha pili magoli nimeyaona kwenye replay, uhusino na waarabu ninao nimeowa kwa waarabu.
Aibu, hakuna uhusiano wa waarabu na firauni, firauni walikuwa waafrika ha ha ha ha ha!!!
ha!ha!ha!...Kumbe Tukuyu ipo...hizi timu toka enzi za mwalimu!!kipa anatoka Tiger ya kule Rukwa nadhani
na yule mfungaji wa goli la tz anachezea Tukuyu staz kule mbeya heeeee heeeee kama sijakosea ni hivyo
Baby alikuwa anachezea kwa waarabu...ha ha ha ha ha ha ha!!!...au hujui aliyefunga bao la TANZANIA kijana Abdi Kassim "Baby"ni Mtumbatu wa Raha leo?ZNZ wametoa mchango mkubwa sana kwenye sare ya leo bana!
anakurupuka tu shauri ya ilimu yake kuwa ya magumashi, hajui hata analoliongea huyuJunius;
Naoma ufafanuzi wako,wale Mafirauni wa Misri ya kale ina maana hawakuwa waarab?
Mzee;
aliyetufungia bao anaitwa Abdi Kassim "bebi",ni Mtz anayetokea visiwa vya Unguja-ZNZ na anachezea timu ya Yanga ya Dar,na Golikipa ni Shaaban Kaddo yeye anachezea Mtibwa Sugar ya Turiani-Morogoro!
Ahsante malafyale ,sasa umoja wa watanzania unajionyesha kweye mpira TZ na Zanzibar.
God bless Tanzania!
anakurupuka tu shauri ya ilimu yake kuwa ya magumashi, hajui hata analoliongea huyu
Naona unajizungusha...vitu fulani vinakukereketa, kohowa mkuu usifice kikohozi ha ha ha ha ha!!kwani waarabu wote ni weusi hahaaaaaaa umejikuna mgongo mwenyewe heheeeeee aaaaaa mahoka, huna jipya
asante sana ndugu Mfukunyuzi kwa takribani dakika 3, 4 hivi za jinsi ulivyoweza kutoa tathmini nzuri sana hapa tangu umeingia jf eeeeeNianze kwa kumpongeza Maximo kwa kusaidia kukuza soka letu na kujenga msingi imara wa timu tuliyonayo sasa pia kupongeza kocha mpya Poulsen kwa kuwahamasisha wachezaji wetu kujituma kwa nchi yetu. Kwa kifupi hii ni moja ya best performance ya Stars away from home maana tumecheza vizuri sana hasa kipindi cha kwanza, wachezaji wanajituma na kujiamini na kipa Kado leo kwangu ndio man of the match. Waarabu wamemiliki sana mpira ila ngome ya stars leo ilikuwa imara na refu wa leo toka kule Togo amenitia kichefuchefu mpaka basi kumbe ndio maana soka Afrika halikuwi kama marefa wenyewe ndio hawa. Bao letu kafunga Abdi Kassim "Babi" kwa chuti la chini chini umbali wa mita kama 35 baada ya Ngassa kuangushwa eneo la hatari na dakika chache baadaye waarabu wakasawazisha kwa shuti la mbali lililomsginda Kado ambaye hakutegemea na pia upepo ulibadili mwelekea wa shuti na kujaa wavuni. Ngassa na Mrwanda wamejitahidi sana kupeleka mbele mashambulizi ya kushtukiza huku pale kati Nizar na Henry Joseph walijaribu kupungusa makali ya viungo wa Algeria. Stephani Mwasika kacheza vizuri sana beki ya kushoto na pale kati kama kawaida Nadir amecheza safi. Kwa kweli tukikaza buti namna hii hasa mechi za nyumbani kuna matumaini ya kuiona Gabon 2012 hongera sana Stars for a well deserved point away from home...
hapa huna jipya, labda weye ndiyo wakeleketwa na kihoro maana unavyojipendekeza kwa waarabuNaona unajizungusha...vitu fulani vinakukereketa, kohowa mkuu usifice kikohozi ha ha ha ha ha!!