Algeria wameshabadilisha Magari zaidi ya Milioni Moja kutumia LPG (Sio CNG bali LPG) - Gesi tunayopikia Majumbani

Algeria wameshabadilisha Magari zaidi ya Milioni Moja kutumia LPG (Sio CNG bali LPG) - Gesi tunayopikia Majumbani

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233
Gesi hii ambayo wanaiita Auto-Gas ndio mixture ya (Butane na Propane au Propane) na ndio huku tunapikia majumbani...; nimetoa hii habari hapa kuonyesha kwamba ni busara kutumia ulichonacho na Algeria hii gesi ndio bei rahisi sana nadhani kuliko sehemu nyingine...

Wamefanikisha hayo kwa kutumia incentives tofauti ikiwemo ya kupunguza VAT kwenye mifumo yote ya kubadilisha magari, na bei baina ya hii LPG na Nishati mbadala tofauti ni kubwa sana nikichukua extract ya 2023 utaona tofauti hiyo...

thanks to a significant price gap between LPG (9 dinars per litre, equal to 0,06 euro) and other types of fuel (on average 32 dinars per litre, equal to 21 euro cents). Nadil explained that there are more than 1.285 LPG points of sale in Algeria and over 1.000 conversion centers (80 percent belong to private companies, while the remaining 20 percent is managed by the state-owned company Naftal).
Hio ilikuwa 2023 nina uhakika sasa hivi mabadiliko ni makubwa zaidi kwa wingi wa vituo vya kujazia...

My Take:
Tuwekeze na tutumie tulichonacho na sababu tuna gesi asilia tuchochee magari kutumia CNG na huku majumbani sababu sisi sio kina Algeria Nishati Safi ya kupikia tutumie Umeme ambao tunaweza kuzalisha wenyewe na kuongeza vyanzo vya uzalishaji kwa kutumia hio gesi asilia ambayo tunayo wala hatujitaji kuagiza

- Nishati Safi ya Kupikia, Mwarobaini tunao na ni Bora kuliko Gesi



- https://www.jamiiforums.com/threads/nishati-safi-ya-kupikia-gharama-nafuu-kuanizia-0-tshs.2212944/[/URL]
 
mmexport1730439845473.jpg
 
Nani mlengwa wa hili ? Nadhani ukiwapelekea kina Puma, Total, Lake Oil au wadau wote binafsi watachukua wazo lako kama kweli linawaongezea faida sidhani kama hii ni viable au inashauriwa kwa UMMA / Kodi zetu kutumika.... Private will do it best
Hicho kitabu ni mali yetu boss ni kwaajili ya watu wenye mpango wa kufungua biashara hatuhusiki na serikali. Wapo watu wanafungua vituo vya mafuta wapo wanafunzi wanapenda kujisomea watakitumia hiki kitabu
 
Back
Top Bottom