Yule tapeli?Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza.
Itoshe tu kusema haya yote yanathibitisha kazi njema anayofanya Nabii na Mtume Mwamposa.
Yesu ndiye mponyaji!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule tapeli?Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza.
Itoshe tu kusema haya yote yanathibitisha kazi njema anayofanya Nabii na Mtume Mwamposa.
Yesu ndiye mponyaji!
Kwanza hiyo Aya ilikuwa inawahasa waislamu kipindi kile ambacho Uislamu ulikuwa unalinganiwa,kwahiyo kulikuwa na upigaji Vita mkubwa juu ya Uislamu na uadui ulikuwa mkubwa mno,,,,kwahiyo waislamu walikuwa wanahaswa wasifanye Urafiki na kuwapa Siri zao kwani hao wenzao mwisho wa siku wanawageuka na kuwafanyia uadui dhidi Yao.Sasa mnasumbuka Nini? Qur'an 5:52-52,"Enyi mlioamini msiwafanye mayahudi na wakristo kuwa marafiki wenu....." Lakini mnaenda kutafuta miujiza kwa Mwamposa.
Kwani tatizo liko wapi? Imani si ni suala binafsi? Mkristo akienda kuombewa na shehe kuna tatizo, si ni maamuzi yake? Yaan tunataka sasa kuingilia maamuzi ya mtu binafsi kwa sababu ya dini? Huo sasa ni ujuhaKama kichwa cha uzi kinavyojieleza.
Itoshe tu kusema haya yote yanathibitisha kazi njema anayofanya Nabii na Mtume Mwamposa.
Yesu ndiye mponyaji!
Ni kweli Yesu ni Upendo wala hatukatai Hilo,,,,,na Imani ya Muislamu haijakamikilika kama haamini Malaika wa Mwenyezi Mungu,vitabu vyake Kwa maana zaburi,torati na injili,na mitume wake wote,ndio maana Yesu kama waislamu Tunamheshimu na kumtambua kama Nabii wa Mungu,kwahiyo muislamu yoyote akimpinga Yesu basi Imani yake ni batili.Yesu ni Upendo
Akikuombea uliona matatizo hawataki wahi law MwamposyaAkomeeee, bikra Maria tuombee.
Tena ujuha wa hali ya juuKwani tatizo liko wapi? Imani si ni suala binafsi? Mkristo akienda kuombewa na shehe kuna tatizo, si ni maamuzi yake? Yaan tunataka sasa kuingilia maamuzi ya mtu binafsi kwa sababu ya dini? Huo sasa ni ujuha
Kwa ufupi Uislam bila Ukristo haujakamilika.Ni kweli Yesu ni Upendo wala hatukatai Hilo,,,,,na Imani ya Muislamu haijakamikilika kama haamini Malaika wa Mwenyezi Mungu,vitabu vyake Kwa maana zaburi,torati na injili,na mitume wake wote,ndio maana Yesu kama waislamu Tunamheshimu na kumtambua kama Nabii wa Mungu,kwahiyo muislamu yoyote akimpinga Yesu basi Imani yake ni batili.
Mm aende kufanya nini msikitini wakati anaingia.msikitini ana shida na akitoka shida zake ziko palepale.Anaona akajitafutie ufumbuzi kwingine.Narudia hao ni waislamu majina wamezaliwa wamekuta wazazi ni waislamu hata mlango wa msikiti hawajui
Si waislamu ila wanamajina ya kiislamMimi Sina tatizo na uislamu ila waislamu wengi wana unafiki Sana naishi nao muda mwingi sana..
Kuna mtu mmoja akanijibu eti pale kwa mwamposa hakuna muislamu anayeenda hata mmoja wale ni mamluki tu Wala siyo waislamu.Muislamu halali hathubutu kukanyaga kanisani maana ni haram,nikaamua kumpotezea badala ya kubishana
Huyu shehe ndy ameona mbali na ameukubali ukweli kwamba Kuna wamama wengi Sana wa kiislamu wanaenda kwa mwamposa so tyr Kuna tatzo na wao Kama viongozi wa kiislamu na waislamu wote wanapaswa kulitatua..Hizi Mambo za kila linapotokea Jambo wasilolipenda wanasingizia hao siyo' waislamu halitawasaidia hata kidogo'
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hapana haupo sahihi,,,,Dini ni moja Tu ambayo inamwamini Mungu Mmoja,,,,ndio maana vitabu vyote vya Mungu kuanzia zaburi,torati ,injili na Qur'an vyote vinamtangaza Mungu mmoja,kwahiyo Uislamu ni Dini kongwe Sana.Kwa ufupi Uislam bila Ukristo haujakamilika.
Yani ili imani ya uislam iweze kusimama inabidi ijitengemezee misingi kwenye misingi ya Imani ya Kikristo.
Ndio maana Uislam siku zote unakomaa kujiprove kupitia Biblia (refer ishu ya Isa kuwa Yesu etc..)
Sawa mgalatiaOngea kiswahili nikuelewe,achana na hicho kiarabu cha mkoloni.
tatizo lenu mkishaijua hiyo dini yenu kidogo tu mnajiona mshakuwa waarabu... na cha ajabu hao waarabu wenyewe wanawadharau kinoma.
Uislam sio dini kongwe,hauna hata miaka 1500 toka uanze. Uislam umeanza miaka 600 baada ya Ukristo..Hapana haupo sahihi,,,,Dini ni moja Tu ambayo inamwamini Mungu Mmoja,,,,ndio maana vitabu vyote vya Mungu kuanzia zaburi,torati ,injili na Qur'an vyote vinamtangaza Mungu mmoja,kwahiyo Uislamu ni Dini kongwe Sana.
Tumezungumza ktk baadhi ya nyuzi kuwa Uislamu ni kujinyenyekeza Kwa Mungu Mmoja Tu,huo ndio Uislamu,,,,kwahiyo mitume wote na Manabii walikuwa na Imani mmoja,,,ndio maana tunamtambua Yesu na kumkubali,,,,,,kuhusu Yesu kujulikana kama Issa ndani ya Qur'an ni Jina Tu lililotumika huko kama Abraham/Ibrahim,,,,,Moses/Musa,,,,Gabriel/jibril
Imani yenu bila kujibanza kwenye Biblia haikamiliki..Hapana haupo sahihi,,,,Dini ni moja Tu ambayo inamwamini Mungu Mmoja,,,,ndio maana vitabu vyote vya Mungu kuanzia zaburi,torati ,injili na Qur'an vyote vinamtangaza Mungu mmoja,kwahiyo Uislamu ni Dini kongwe Sana.
Tumezungumza ktk baadhi ya nyuzi kuwa Uislamu ni kujinyenyekeza Kwa Mungu Mmoja Tu,huo ndio Uislamu,,,,kwahiyo mitume wote na Manabii walikuwa na Imani mmoja,,,ndio maana tunamtambua Yesu na kumkubali,,,,,,kuhusu Yesu kujulikana kama Issa ndani ya Qur'an ni Jina Tu lililotumika huko kama Abraham/Ibrahim,,,,,Moses/Musa,,,,Gabriel/jibril
Hilo jina halinipi shida.. Ila nimekuambia tu Punguza shobo kwa Waarabu.Sawa mgalatia
Sisi tunawapenda hatutaki muende Motoni,,,,,yeyote atakaye mshirikisha Mwenyezi Mungu mwisho mwisho wake ni kuchomwa Moto.Imani yenu bila kujibanza kwenye Biblia haikamiliki..
Mbona sijawahi kuwasikia Wakristo wakijaribu kujiprove kwa kutumia Quran?
Kwa nini ni nyie mnaojaribu kujiprove kwa kutumia Bible?
We Huoni kuna tatizo hapo?
Kwahiyo una fundishwa selfish,duuh kweli hiyo ni hatari.Hapana mbona matatizo yapo mengi tu kwa waumini wetu mfano hao magaidi pia ni waislamu jina hakuna Mungu anaruhusu kutoa uhai wa mtu tena bila huruma wanaua wanawake na watoto
Ndio hakuna muislamu anaenda kuombewa kwa mkiristo kwenye mafunzo tunaambiwa ni makosa hapo ume ritadi tunaambiwa tusijichanganye na wakiristo sema vitu vingine kwa utandawazi huu na ukuaji wa teknolojia tunategemeana so ni irrelevant kuvifata Mfano lazima tuchangamane mfano hospitalini ,masokoni nk ila kiuhalisia hairuhusiwi
Narudia hao ni waislamu majina wamezaliwa wamekuta wazazi ni waislamu hata mlango wa msikiti hawajui