Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

Mganga wa kienyeji anayewashinda mashehe na maimamu wa kiislamu kutatua shida za wanawake wa kiislamu

Si heri huyo uwezo anao kuliko.mashehe na maimamu

Hao wasio na uwezo ndio waganga wa kienyeji wababaishaji tu kazi kutiririka aya tu ufumbuzi wa shida za hao wanawake wa kiislamu hawana.Wao kazi kutiritika aya tu walizokariri madarasa kwa.kulazimishwa kwa viboko kukariri

Mkristo hachapwi viboko kuelewa Biblia.

Matokeo ya kukaririsha watu kuruani na viboko ndio hayo wanazalisha mashehe na maimamu wasio na ufumbuzi wa shida za waislamu zaidi ya kuwatiririkia aya za kuruani walizokariri kwa viboko
Unaandika kama punguani hueleweki 😂😂😂😂😂mara kuchapwa vibiko nimesoma mafundisho kanisa la KKKT watu wanachapwa na mkufunzi ..

Uthenge wenu ni mmoja anafundishana kuimba kuliko mfundisho ..

Mwamposa na manabiii wenu wote ni washirikina kama waganga wa kienyeji tu!! Ndo maana watu wengi huenda huko hata wewe na ukooo wako kwa vile mna shida mnaenda huko kuombewa..

Nyie wajinga karibia wote unaenda kutubu dhambi kwa binadamu mwenzio halafu huyo ulienda kutubu dhambi kwake,wiki kadhaa mbele unasikia kamlawiti kondooo wake.

Mmeitwa makondooo kwa vile mnaongoza na binadamu kweny dini yenu hata kutubu dhambi mnaenda kwa binadamu mwenzenu...uthenge mwingine mungu wenu malkia Elizabeth alieanzisha ukristo kafa bado kondooo hamuelewi kama mmepotea.
 
mwingine mungu wenu malkia Elizabeth alieanzisha ukristo kafa bado kondooo hamuelewi kama mmepotea.
Hata mpagani akisoma ulichoandika anajua wewe kichwani hazimo kabisa akili.Eti Malkia Elizabeth alianzisha Ukristo!!! Wahi hospitali ya vichaa Mirembe ukapate.matibabu kabla hujatupa nguo na kutembea uchi barabarani mchana kweupeeee
 
Hata mpagani akisoma ulichoandika anajua wewe kichwani hazimo kabisa akili.Eti Malokia Elizabeth alianzisha Ukristo!!! Wahi hospitali ya vichaa Mirembe ukapate.matibabu kabla hujatupa nguo na kutembea uchi barabarani mchana kweupeeee
Wewe ni fala hujui unachoabudu ile familia ndo imeanzisha ukristo sibishani na form 4 failure....sio level zako tafuta wajinga wenzio makondoo
 
Mganga wa kienyeji anayewashinda mashehe na maimamu wa kiislamu kutatua shida za wanawake wa kiislamu

Si heri huyo uwezo anao kuliko.mashehe na maimamu

Hao wasio na uwezo ndio waganga wa kienyeji wababaishaji tu kazi kutiririka aya tu ufumbuzi wa shida za hao wanawake wa kiislamu hawana.Wao kazi kutiritika aya tu walizokariri madarasa kwa.kulazimishwa kwa viboko kukariri

Mkristo hachapwi viboko kuelewa Biblia.

Matokeo ya kukaririsha watu kuruani na viboko ndio hayo wanazalisha mashehe na maimamu wasio na ufumbuzi wa shida za waislamu zaidi ya kuwatiririkia aya za kuruani walizokariri kwa viboko
Hao mashehe na maimamu wengi ni waganga wa kienyeji walio jificha kwenye mwamvuli wa dini..hakuna kitu pale ni ushirikina mtupu.

Trust me waganga wote wakienyeji pwani ni wavaakobazi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sasa mnasumbuka Nini? Qur'an 5:52-52,"Enyi mlioamini msiwafanye mayahudi na wakristo kuwa marafiki wenu....." Lakini mnaenda kutafuta miujiza kwa Mwamposa.
Hakika ndio mana mnaua na kuumiza wingine..dini yenu imejengwa kwenye misingi ya kibaguzi.

Mpende jirani yako kama nafsi yako..huu ndio msingi wa upendo na amani kwa wote.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwanza hiyo Aya ilikuwa inawahasa waislamu kipindi kile ambacho Uislamu ulikuwa unalinganiwa,kwahiyo kulikuwa na upigaji Vita mkubwa juu ya Uislamu na uadui ulikuwa mkubwa mno,,,,kwahiyo waislamu walikuwa wanahaswa wasifanye Urafiki na kuwapa Siri zao kwani hao wenzao mwisho wa siku wanawageuka na kuwafanyia uadui dhidi Yao.

Lkn haimaanishi Uislamu hautaki kufungamana kama jamii na wakristo laa! Ila ilikuwa kipindi kile cha uadui mkubwa,,,,na kuna Aya inasema walio karibu zaidi katika Uislamu na hata kusilimu ni wakristo na sio wayahudi.

Ila linapokuja swala la ibada au kumwabudu Mungu,,,,basi Uislamu Una mipaka yake,Ila hao wanaokuja huko kuombewa hawaijui Imani yao
Kama iman yao haiwapi majibu kwanini kuwawkea mipaka watu kama sio kuendeleza ushenzi ule ule wa ubaguzi na kujitenga na wengine..yani dunia ya sasa bado mnaleta swaga za miaka 1000 iliyo pita.?mjitafakari kwa kweli.

No wonder bado mnajiripua kisa dini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ni kweli Yesu ni Upendo wala hatukatai Hilo,,,,,na Imani ya Muislamu haijakamikilika kama haamini Malaika wa Mwenyezi Mungu,vitabu vyake Kwa maana zaburi,torati na injili,na mitume wake wote,ndio maana Yesu kama waislamu Tunamheshimu na kumtambua kama Nabii wa Mungu,kwahiyo muislamu yoyote akimpinga Yesu basi Imani yake ni batili.
Sasa mbona shehe ubwabwa nakatazia watu kwenda kuombewa kwa wakristo??

#MaendeleoHayanaChama
 
Kama iman yao haiwapi majibu kwanini kuwawkea mipaka watu kama sio kuendeleza ushenzi ule ule wa ubaguzi na kujitenga na wengine..yani dunia ya sasa bado mnaleta swaga za miaka 1000 iliyo pita.?mjitafakari kwa kweli.

No wonder bado mnajiripua kisa dini.

#MaendeleoHayanaChama
Inamaana RC walicyopiga marufuku waamini wao kwenda kwa mwamposa ni kuwa huko hawapati majibu ya matatizo yao?
 
Hapana haupo sahihi,,,,Dini ni moja Tu ambayo inamwamini Mungu Mmoja,,,,ndio maana vitabu vyote vya Mungu kuanzia zaburi,torati ,injili na Qur'an vyote vinamtangaza Mungu mmoja,kwahiyo Uislamu ni Dini kongwe Sana.

Tumezungumza ktk baadhi ya nyuzi kuwa Uislamu ni kujinyenyekeza Kwa Mungu Mmoja Tu,huo ndio Uislamu,,,,kwahiyo mitume wote na Manabii walikuwa na Imani mmoja,,,ndio maana tunamtambua Yesu na kumkubali,,,,,,kuhusu Yesu kujulikana kama Issa ndani ya Qur'an ni Jina Tu lililotumika huko kama Abraham/Ibrahim,,,,,Moses/Musa,,,,Gabriel/jibril
Hivi muhamadi alianzisha uislamu mwaka gani vile???

#MaendeleoHayanaChama
 
Hilo jina halinipi shida.. Ila nimekuambia tu Punguza shobo kwa Waarabu.

Huwa Wanawadharau sana na nyie hamkomi kujipendekeza kwao.
Punguzen Shobo kwa waisraeli naona baadhi ya wachungaji wanatumia na bendera zao wanawaona manyani tu
 
Unaandika kama punguani hueleweki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mara kuchapwa vibiko nimesoma mafundisho kanisa la KKKT watu wanachapwa na mkufunzi ..

Uthenge wenu ni mmoja anafundishana kuimba kuliko mfundisho ..

Mwamposa na manabiii wenu wote ni washirikina kama waganga wa kienyeji tu!! Ndo maana watu wengi huenda huko hata wewe na ukooo wako kwa vile mna shida mnaenda huko kuombewa..

Nyie wajinga karibia wote unaenda kutubu dhambi kwa binadamu mwenzio halafu huyo ulienda kutubu dhambi kwake,wiki kadhaa mbele unasikia kamlawiti kondooo wake.

Mmeitwa makondooo kwa vile mnaongoza na binadamu kweny dini yenu hata kutubu dhambi mnaenda kwa binadamu mwenzenu...uthenge mwingine mungu wenu malkia Elizabeth alieanzisha ukristo kafa bado kondooo hamuelewi kama mmepotea.
Karibu uje ukanyage mafuta na kula keki ya upako hakika mapepo na majini yatakutoka..nawe utalisifu jina la Mungu kupitia mwanawe Yesu kristo.

Wala usione aibu wala kuufanya moyo wako mgumu..usije ukapotea katika ukengeufu wako.

Yesu ana ponya...mana alisema njooni kwangu ninyi nyote mnaosumbuka na kuelemewa na mizigo nami nitawapumisha.

Mna wachungaji viwete mngewaponya hata mungu wenu malkia Elizabeth amefariki na siku tatu zimepita hajafufuka😂😂😂 .

Mwanaume unaabudu mwanamke
 
Back
Top Bottom