Nyinyi ni watu wa mpira na mnaelewa maana ya Matokeo mliyopata Leo.
Nyinyi mmeuishi mpira naomba mkamwambie mwekezaji ndugu MO ukweli na Nini anatakiwa afanye kuliko kutolewa bila faida yoyote.
Pesa iliyotumika mpaka kufikia apo ni nyingi Kwaiyo Aya mambo yanajadilika kuliko kukaza shingo na kutolewa Kwa aibu.
Kesho nayo ni siku mtajaribu Tena ila kwasasa zifanyike hesabu za kupunguza hasara.
Nadhani watu wanao ishi mpira wamenielewa.
Wewe kama unaona uelewi ujue halikuhusu.
Lage ndio nini mkuu? Unaharibu majina ya watuNyinyi ni watu wa mpira na mnaelewa maana ya Matokeo mliyopata Leo.
Nyinyi mmeuishi mpira naomba mkamwambie mwekezaji ndugu MO ukweli na Nini anatakiwa afanye kuliko kutolewa bila faida yoyote.
Pesa iliyotumika mpaka kufikia apo ni nyingi Kwaiyo Aya mambo yanajadilika kuliko kukaza shingo na kutolewa Kwa aibu.
Kesho nayo ni siku mtajaribu Tena ila kwasasa zifanyike hesabu za kupunguza hasara.
Nadhani watu wanao ishi mpira wamenielewa.
Wewe kama unaona uelewi ujue halikuhusu.
Matokeo Waliyo yapata Simba Mimi niliyategemea Kwaiyo sikushtuka, na nilisha andika zaidi ya mara mmoja.Huna akili naona umeandika kwa maumiv makali sana baada ya dua zenu kwenda mramba kama imeuma chomoa
Wale vijana wa rage unafikiri network zao zinafanya kazi kukuelewa unachomaanisha, wao wanachojua wameshinda goli moja kwa mkapa na wamemaliza kila kitu, kombe lao washabeba tiyali na washavuka ayo mengine awayajui🤣🤣🤣Matokeo Waliyo yapata Simba Mimi niliyategemea Kwaiyo sikushtuka, na nilisha andika zaidi ya mara mmoja.
Wydad hivi ndivyo hufanya ugenini, wata tafuta ushindi,sare au wakishindwa watafungwa ila tofauti haizidi goli mmoja.
Wameshafanya hivyo mara nyingi ila kule kwao goli zao zina anzia tatu ni Ahly pekee aliye pigwa 2
MO afanye kama alivyo fanya Mjomba wake Azim Dewji mwaka 1993 Tena hii itakua ugenini Haina shida, Kwakua Hakuna namna nyingine zaidi ya kubalance vitabu vya fedha.
Mashabiki wengi hawaelewi, Hii sio hatua ya kushinda tu, Hii ni hatua ya kufuzu.
Watu wa mpira wanaelewa nini namaanisha, Ingekua kwenye hatua ya makundi kushinda Kuna maana kubwa ila hatua hii kinacho tengenezwa ni tofauti ya Magoli.
Wengi wataelewa baada ya marudiano ya hizi mechi na watajifunza kuanzia hapo.
Ismail Aden Rage ni Mwenyekiti wenu mstaafu! Na kwa kujiamini kabisa, na akiwa mbele yenu, na camera za waandishi wa habari zikimulika! alidiriki kuwaambia nyinyi mashabiki wa simba eti ni mbumbumbu! Na mlikubali. Maana hamkunfanya kitu!Na manara Pia alisema idadi yenu
ulicheki mechi ya wydad vs as vita home na away? Hebu ondoa upuuzi wako shabiki wa matukio hana nafasi msimbaziMatokeo Waliyo yapata Simba Mimi niliyategemea Kwaiyo sikushtuka, na nilisha andika zaidi ya mara mmoja.
Wydad hivi ndivyo hufanya ugenini, wata tafuta ushindi,sare au wakishindwa watafungwa ila tofauti haizidi goli mmoja.
Wameshafanya hivyo mara nyingi ila kule kwao goli zao zina anzia tatu ni Ahly pekee aliye pigwa 2
MO afanye kama alivyo fanya Mjomba wake Azim Dewji mwaka 1993 Tena hii itakua ugenini Haina shida, Kwakua Hakuna namna nyingine zaidi ya kubalance vitabu vya fedha.
Mashabiki wengi hawaelewi, Hii sio hatua ya kushinda tu, Hii ni hatua ya kufuzu.
Watu wa mpira wanaelewa nini namaanisha, Ingekua kwenye hatua ya makundi kushinda Kuna maana kubwa ila hatua hii kinacho tengenezwa ni tofauti ya Magoli.
Wengi wataelewa baada ya marudiano ya hizi mechi na watajifunza kuanzia hapo.
Kwaiyo Kwa akiliyako ya ki mbumbumbu unaona hii ni hatua ya kufananisha mechi ya Wydad na vita? Yaani akiliyako inakupeleka kwenye makundi!!ulicheki mechi ya wydad vs as vita home na away? Hebu ondoa upuuzi wako shabiki wa matukio hana nafasi msimbazi
Hakika wewe ni utopolo unajiropokea tu. Ni msimu WA juzi Tu hapo huyo mume wako alitolewa na Kaizer Kwa aggregate ya 1-0Matokeo Waliyo yapata Simba Mimi niliyategemea Kwaiyo sikushtuka, na nilisha andika zaidi ya mara mmoja.
Wydad hivi ndivyo hufanya ugenini, wata tafuta ushindi,sare au wakishindwa watafungwa ila tofauti haizidi goli mmoja.
Wameshafanya hivyo mara nyingi ila kule kwao goli zao zina anzia tatu ni Ahly pekee aliye pigwa 2
MO afanye kama alivyo fanya Mjomba wake Azim Dewji mwaka 1993 Tena hii itakua ugenini Haina shida, Kwakua Hakuna namna nyingine zaidi ya kubalance vitabu vya fedha.
Mashabiki wengi hawaelewi, Hii sio hatua ya kushinda tu, Hii ni hatua ya kufuzu.
Watu wa mpira wanaelewa nini namaanisha, Ingekua kwenye hatua ya makundi kushinda Kuna maana kubwa ila hatua hii kinacho tengenezwa ni tofauti ya Magoli.
Wengi wataelewa baada ya marudiano ya hizi mechi na watajifunza kuanzia hapo.
Wewe huna akili. Kaizer alimtoa huyo mume wako Kwa aggregate ya ngapi?Kwaiyo Kwa akiliyako ya ki mbumbumbu unaona hii ni hatua ya kufananisha mechi ya Wydad na vita? Yaani akiliyako inakupeleka kwenye makundi!!
Kweli wenye akili wawili..Lage ndio niniNyinyi ni watu wa mpira na mnaelewa maana ya Matokeo mliyopata Leo.
Nyinyi mmeuishi mpira naomba mkamwambie mwekezaji ndugu MO ukweli na Nini anatakiwa afanye kuliko kutolewa bila faida yoyote.
Pesa iliyotumika mpaka kufikia apo ni nyingi Kwaiyo Aya mambo yanajadilika kuliko kukaza shingo na kutolewa Kwa aibu.
Kesho nayo ni siku mtajaribu Tena ila kwasasa zifanyike hesabu za kupunguza hasara.
Nadhani watu wanao ishi mpira wamenielewa.
Wewe kama unaona uelewi ujue halikuhusu.
Timu usiende Casablanca kuhofia kapu.Kumanisha nini