Alhaji Rage na Mwina Seifu Kaduguda chukueni hii

redio

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
5,813
Reaction score
12,921
Nyinyi ni watu wa mpira na mnaelewa maana ya Matokeo mliyopata Leo.

Nyinyi mmeuishi mpira naomba mkamwambie mwekezaji ndugu MO ukweli na Nini anatakiwa afanye kuliko kutolewa bila faida yoyote.

Pesa iliyotumika mpaka kufikia apo ni nyingi Kwaiyo Aya mambo yanajadilika kuliko kukaza shingo na kutolewa Kwa aibu.

Kesho nayo ni siku mtajaribu Tena ila kwasasa zifanyike hesabu za kupunguza hasara.

Nadhani watu wanao ishi mpira wamenielewa.

Wewe kama unaona uelewi ujue halikuhusu.
 
Sio lage ni Rage
 
Lage ndio nini mkuu? Unaharibu majina ya watu
 
we utopolo 'sijui umeandika urojo gani...?
 
Huna akili naona umeandika kwa maumiv makali sana baada ya dua zenu kwenda mramba kama imeuma chomoa
Matokeo Waliyo yapata Simba Mimi niliyategemea Kwaiyo sikushtuka, na nilisha andika zaidi ya mara mmoja.

Wydad hivi ndivyo hufanya ugenini, wata tafuta ushindi,sare au wakishindwa watafungwa ila tofauti haizidi goli mmoja.

Wameshafanya hivyo mara nyingi ila kule kwao goli zao zina anzia tatu ni Ahly pekee aliye pigwa 2
MO afanye kama alivyo fanya Mjomba wake Azim Dewji mwaka 1993 Tena hii itakua ugenini Haina shida, Kwakua Hakuna namna nyingine zaidi ya kubalance vitabu vya fedha.
Mashabiki wengi hawaelewi, Hii sio hatua ya kushinda tu, Hii ni hatua ya kufuzu.
Watu wa mpira wanaelewa nini namaanisha, Ingekua kwenye hatua ya makundi kushinda Kuna maana kubwa ila hatua hii kinacho tengenezwa ni tofauti ya Magoli.

Wengi wataelewa baada ya marudiano ya hizi mechi na watajifunza kuanzia hapo.
 
Wale vijana wa rage unafikiri network zao zinafanya kazi kukuelewa unachomaanisha, wao wanachojua wameshinda goli moja kwa mkapa na wamemaliza kila kitu, kombe lao washabeba tiyali na washavuka ayo mengine awayajui🤣🤣🤣
 
Na manara Pia alisema idadi yenu
Ismail Aden Rage ni Mwenyekiti wenu mstaafu! Na kwa kujiamini kabisa, na akiwa mbele yenu, na camera za waandishi wa habari zikimulika! alidiriki kuwaambia nyinyi mashabiki wa simba eti ni mbumbumbu! Na mlikubali. Maana hamkunfanya kitu!

Sasa tuje kwa huyo Manara wako; alikuwa ni nani pale Yanga mpaka maneno yake yawe na mashiko? Zaidi tu ya kuajiriwa na GSM, baada ya kukimbia mshahara wa laki 7 kwa mwezi kutoka kwa mwekezaji wenu janjanja?
 
Matokeo Waliyo yapata Simba Mimi niliyategemea Kwaiyo sikushtuka, na nilisha andika zaidi ya mara mmoja.

Wydad hivi ndivyo hufanya ugenini, wata tafuta ushindi,sare au wakishindwa watafungwa ila tofauti haizidi goli mmoja.

Wameshafanya hivyo mara nyingi ila kule kwao goli zao zina anzia tatu ni Ahly pekee aliye pigwa 2
MO afanye kama alivyo fanya Mjomba wake Azim Dewji mwaka 1993 Tena hii itakua ugenini Haina shida, Kwakua Hakuna namna nyingine zaidi ya kubalance vitabu vya fedha.
Mashabiki wengi hawaelewi, Hii sio hatua ya kushinda tu, Hii ni hatua ya kufuzu.
Watu wa mpira wanaelewa nini namaanisha, Ingekua kwenye hatua ya makundi kushinda Kuna maana kubwa ila hatua hii kinacho tengenezwa ni tofauti ya Magoli.

Wengi wataelewa baada ya marudiano ya hizi mechi na watajifunza kuanzia hapo.
ulicheki mechi ya wydad vs as vita home na away? Hebu ondoa upuuzi wako shabiki wa matukio hana nafasi msimbazi
 
Kwaiyo Kwa akiliyako ya ki mbumbumbu unaona hii ni hatua ya kufananisha mechi ya Wydad na vita? Yaani akiliyako inakupeleka kwenye makundi!!
 
Matokeo Waliyo yapata Simba Mimi niliyategemea Kwaiyo sikushtuka, na nilisha andika zaidi ya mara mmoja.

Wydad hivi ndivyo hufanya ugenini, wata tafuta ushindi,sare au wakishindwa watafungwa ila tofauti haizidi goli mmoja.

Wameshafanya hivyo mara nyingi ila kule kwao goli zao zina anzia tatu ni Ahly pekee aliye pigwa 2
MO afanye kama alivyo fanya Mjomba wake Azim Dewji mwaka 1993 Tena hii itakua ugenini Haina shida, Kwakua Hakuna namna nyingine zaidi ya kubalance vitabu vya fedha.
Mashabiki wengi hawaelewi, Hii sio hatua ya kushinda tu, Hii ni hatua ya kufuzu.
Watu wa mpira wanaelewa nini namaanisha, Ingekua kwenye hatua ya makundi kushinda Kuna maana kubwa ila hatua hii kinacho tengenezwa ni tofauti ya Magoli.

Wengi wataelewa baada ya marudiano ya hizi mechi na watajifunza kuanzia hapo.
Hakika wewe ni utopolo unajiropokea tu. Ni msimu WA juzi Tu hapo huyo mume wako alitolewa na Kaizer Kwa aggregate ya 1-0
 
Kwaiyo Kwa akiliyako ya ki mbumbumbu unaona hii ni hatua ya kufananisha mechi ya Wydad na vita? Yaani akiliyako inakupeleka kwenye makundi!!
Wewe huna akili. Kaizer alimtoa huyo mume wako Kwa aggregate ya ngapi?
 
Nyinyi ni watu wa mpira na mnaelewa maana ya Matokeo mliyopata Leo.
Nyinyi mmeuishi mpira naomba mkamwambie mwekezaji ndugu MO ukweli na Nini anatakiwa afanye kuliko kutolewa bila faida yoyote.
Pesa iliyotumika mpaka kufikia apo ni nyingi Kwaiyo Aya mambo yanajadilika kuliko kukaza shingo na kutolewa Kwa aibu.
Kesho nayo ni siku mtajaribu Tena ila kwasasa zifanyike hesabu za kupunguza hasara.
Nadhani watu wanao ishi mpira wamenielewa.
Wewe kama unaona uelewi ujue halikuhusu.
Kweli wenye akili wawili..Lage ndio nini
 
Back
Top Bottom