Alhaji Rage na Mwina Seifu Kaduguda chukueni hii

Sasa tuje kwa huyo Manara wako; alikuwa ni nani pale Yanga mpaka maneno yake yawe na mashiko? Zaidi tu ya kuajiriwa na GSM, baada ya kukimbia mshahara wa laki 7 kwa mwezi kutoka kwa mwekezaji wenu janjanja?
Hata Mayele, Diara na Lomalisa wameajiriwa na Jiesiem, nao utasema ni akina nani pale utopoloni?
 
Hata Mayele, Diara na Lomalisa wameajiriwa na Jiesiem, nao utasema ni akina nani pale utopoloni?
Kuna uhusiano wowote na huyo mropokaji wenu mnayemtukuza kila siku, na aliyembia mshahara wa laki 7 kwenye timu yenu?
 
Kwanza hakuna mtu anaitwa Lage usiharibu majina ya watu, halafu jifunze kuandika na alama za uandishi ili next time uwe kama mtu. Tupo tu hapo.
 
Kaizer Chiefs aliwafunga pale pale kwao 1 nil au hawakuwa Wydad mechi hiyo ?
 
Bila kumtaja Rage huna raha utafikiri ndiye alijutoa usichana wako.
 
Reactions: Tui
Na Hersi pia sio chochote alipowaambia mmevimbiwa mihogo na kuropoka ovyo kama mnatoa chochote kwenye timu.Hersi si ndio Rais wenu au?Tena mliyembeba kwenye machela mithili ya watumwa kumbeba mmiliki wao. Toeni boriti kwenye macho yenu kabla ya kulalamikia ubanzi
 
Raisi wenu alisema nyie ni wala mihogo tena ya mia mia,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlimfanya nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…