secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Nakuja.Papi ukuje chumbani, mtoto wetu kaamka anakuhitaji🥲View attachment 3659212
Nakuja.Papi ukuje chumbani, mtoto wetu kaamka anakuhitaji🥲View attachment 3659212
Ebu njoo tufanye jambo, usije kuzeekea kwenuGod is goooooooooooooood
Akiolewa Seran nafata mimi
Kwahiyo umeamua kusariti Kambi ya kataa ndoa?
tatizo harmful hajajipanga😁Au tuolewe siku moja shorii😍🤸🏽♂️
We ndo ufanye jambo na yule baby mama wako😁Ebu njoo tufanye jambo, usije kuzeekea kwenu
Hayo hayakuhusu wewe, atajijua mwenyewe sisi tujiandae tu😎tatizo harmful hajajipanga😁
Usifanye hivyo, unachelewesha watoto kuzaliwa waanze shule.We ndo ufanye jambo na yule baby mama wako😁
Mhe. Prof. Dkt. Mch. Mwl. Bw. Lucas Mwashambwa asikose
Lazima nipanic mkuu, haiwezekani ukubali ndoa halafu nikuache tu.Usipanic
lakini hujachelewa mkuu,Hahaha
msingi wa kutapeliwa siku zote ni uleule imani na hisiakwa huyu sjatapelewa I'm sure
mim sifati mkumbo natumia common sense kwenye kila kitu.msingi wa kutapeliwa siku zote ni uleule imani na hisia
anyway, nilikuwa najaribu kufuta goli la wakubali ndoa, naona umegoma kwenda kuangalia kwenye FVS
mnaongoza 1 kinachoniuma goli limefungwa na kataa ndoa mwenzetu
mim sifati mkumbo natumia common sense kwenye kila kitu.
😅😅dahUsifanye hivyo, unachelewesha watoto kuzaliwa waanze shule.
Ahahahahah.Wewe si ulikuwa timu kataa ndoa? Ndoa vs Kataa ndoa; 1:0