Alhamdulilah naenda kuanza maisha mapya kwaheri ubachela

Alhamdulilah naenda kuanza maisha mapya kwaheri ubachela

Ahahahahah.
Umeona eeh!
Vijana wanajifanya kukataa huku kinyemela wanasaliti chama.

Hata hawa wanaopondea sana ma single mama ndio hao hao wanaongoza kwalilia.

Anyways, ni sharti damu zitoke masikioni ili kenge aweze kusikia
Fanton mahal tulia braza😀
 
Usiogope. Kikubwa upendo. Japo tambua hata upendo genuine si kitu kinatosha. Si protection wala provision tu.
Unahitaji kuwa mbunifu sana. Kikubwa usipuuzie yellow flags zi turn red.
👊
 
Hakikisha watu hawapaswi tu kuingia na kutoka nyumbani mwenu. Nyote mnapaswa kuamua ni nani anayeingia, lini na kwa muda gani. Ni makosa kukubali nyumba yako iwe kama soko ambalo watu wa kila sampuli wanaingia na kutoka wapendavyo....
Kwan amesema anaoa usukuman au usambaani?
 
Back
Top Bottom