Very true. Ni ushenzi watu kujazana kwako. Mbona kabla hujaoa walikuwa hawaji?Hakikisha watu hawapaswi tu kuingia na kutoka nyumbani mwenu. Nyote mnapaswa kuamua ni nani anayeingia, lini na kwa muda gani. Ni makosa kukubali nyumba yako iwe kama soko ambalo watu wa kila sampuli wanaingia na kutoka wapendavyo....
Hizi points zako ziko njema sana mkuu. Endelea kuzishusha 🔥Kamwe usivumilie mazungumzo ambayo hayaheshimu ndoa yako au mwenza wako. N...... yaepuke kabisa iwapo unataka kuwa na amani katika ndoa yako.
Kumbuka.... ndoa nyingi huvurugika watu wakiruhusu maoni kutoka nje ilhali kila ndoa ina changamoto zake....
Hizi points zako ziko njema sana mkuu.
Leo saa mbovu imerekebishwa majira...😜Hizi points zako ziko njema sana mkuu. Endelea kuzishusha 🔥
Issue siyo kupata au kutokupata, hapa mchawi ni namna tunavyowaza kusolve. Suluhisho la muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu.Hahah kuna binadamu kamili ambae hapat hio kitu
Hakika. Imerudi katika ubora wake 🔥Leo saa mbovu imerekebishwa majira...😜
Sasa babe ndio ufiche jina langu😒
Ohh papi🙂
Sis unipe moja nikale bure😂Nakupa hongera sana sana mdogo,, ukitaka nikifundie mke ntakubless bureee kabisa.
Na nina kadi ya tarehe hiyo somewhere niko kwenye kamati.
sherehe ina watu 350 double zote zimelipiwa laki mbili mbili.
Asante sana auntNakupa hongera sana sana mdogo,, ukitaka nikifundie mke ntakubless bureee kabisa.
Khaa it's coincidenceNa nina kadi ya tarehe hiyo somewhere niko kwenye kamati.
sherehe ina watu 350 double zote zimelipiwa laki mbili mbili.
Yale msumbufu hatimaye anakwenda kupata jiko.Ohh papi🙂
Kwamba shetani akizeeka hugeuka malaikaKamwe usivumilie mazungumzo ambayo hayaheshimu ndoa yako au mwenza wako. N...... yaepuke kabisa iwapo unataka kuwa na amani katika ndoa yako.
Kumbuka.... ndoa nyingi huvurugika watu wakiruhusu maoni kutoka nje ilhali kila ndoa ina changamoto zake....