Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Sasa hivi unabaki kujipakulia minyama mwenyewe☺️Yale msumbufu hatimaye anakwenda kupata jiko.
Sasa hivi unabaki kujipakulia minyama mwenyewe☺️Yale msumbufu hatimaye anakwenda kupata jiko.
O.pKwamba shetani akizeeka hugeuka malaika
Hiyo iko wazi kama ya mbusii.Sasa hivi unabaki kujipakulia minyama mwenyewe☺️
Kataa ndoa mkuu...🫤Kwamba shetani akizeeka hugeuka malaika
Njoo tufundwe...😜Sis unipe moja nikale bure😂
😁We penguin tulia
Ila tokea aseme kawapa maisha watu zaidi ya wa 5 humu michongo wakatoboa namuheshim kweli humu unaweza kuta unachat na C.I.G au balozi hujui 😂
Ndio najiandaa hapa maana naona naachwa kukicha😂Njoo tufundwe...😜
😂😂😂 Huyu ndo Ushimen naemjua nilitaka kushangaaKataa ndoa mkuu...🫤
Ndoa ni uhaini alloo....😂
Kwakweli mkuu, naona kuna kijana wangu alikua anachezea sim yangu nilipokua nimelewa...😜😂😂😂 Huyu ndo Ushimen naemjua nilitaka kushangaa
Yako salama nilikwepa ngumi ya uso, reception muhimu😅Meno yako salama lakini?
Mbona asubh wakati unatoka ulikuwa sawa
Nishakutumia lokesheni PM...😋Ndio najiandaa hapa maana naona naachwa kukicha😂
Yote yanawezekana muanze kuheshimu watu nyinyi vijana mna matusi mno😅Ila tokea aseme kawapa maisha watu zaidi ya wa 5 humu michongo wakatoboa namuheshim kweli humu unaweza kuta unachat na C.I.G au balozi hujui 😂
Seran ongea wewe.Hio ni comeback