Mtaje hadharani, la sivyo mi siamini.
aisee asante mkuu huna sirihongera miss chagga kwa kupata mme
Hata mimi siamini.........kumekuwa na uongo mwingi sana humu.........
WanaJf amani iwe kwenu,
Sasa nimeamini mke bora waweza mpata hata Jf ukimuomba Mungu.
Mimi nimempata na sasa ni mwezi tangu tufunge ndoa.
Namuomba Mungu azidi kuilinda ndoa yetu.
Hongereni sanaaa, Mungu awajalie kila jema na ndoa yenu idumu
Yawezakana yakawa kweli anayoyanena OK ndoa njema na maisha mema
Hata mimi siamini.........kumekuwa na uongo mwingi sana humu.........
MKUU nilichoandika ni sahihi sina sababu ya kudanganya
Hata mimi siamini.........kumekuwa na uongo mwingi sana humu.........
Hongera sana mkuu mungu awajalie kheri....