Alhamdulillah, Jf imenipatia mke mwema

Alhamdulillah, Jf imenipatia mke mwema

Kila LA heri mkuu... Lakini umejihakikishia kuwa hakuna kidume kinachokusaidia?

Maana huko pm kunatisha
 
WanaJf amani iwe kwenu,

Sasa nimeamini mke bora waweza mpata hata Jf ukimuomba Mungu.

Mimi nimempata na sasa ni mwezi tangu tufunge ndoa.

Namuomba Mungu azidi kuilinda ndoa yetu.

Hongereni sanaaa, Mungu awajalie kila jema na ndoa yenu idumu
 
Back
Top Bottom