Alhamdulillah, Jf imenipatia mke mwema

Alhamdulillah, Jf imenipatia mke mwema

ile kauli inayosema ktk msafara wa kenge na mamba wamo umeisahau?, mwaya wee jishindie mamba wako tu hongera sana!! ila hawa kenge walio salia sijui tutaweza kuwafanya kuwa mamba, tatizo ni wajuaji mpaka inatia hofu kuwaanza, ila wakishaona imefika jioni ndo wanakuja kujiliza liza wanataka waume..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jo
WanaJf amani iwe kwenu,

Sasa nimeamini mke bora waweza mpata hata Jf ukimuomba Mungu.

Mimi nimempata na sasa ni mwezi tangu tufunge ndoa.

Namuomba Mungu azidi kuilinda ndoa yetu.
Hongeraaa sanaaa! Mwenyezi Mungu azidi kuwatangulia
 
Back
Top Bottom