Ali Choki na Muumin Mwinjuma walikuwa wasanii wazuri mno miaka ya 2000 lakini itoshe kusema kuwa Banza Stone alikuwa mwalimu wao

Ali Choki na Muumin Mwinjuma walikuwa wasanii wazuri mno miaka ya 2000 lakini itoshe kusema kuwa Banza Stone alikuwa mwalimu wao

Akilihuru

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2022
Posts
1,512
Reaction score
2,980
Vipi ndugu zangu.

Vitu vitamu kama hivi hapo chini ni vigumu sana kuvipata kwa msanii mungine yoyote zaidi ya marehem Banza Stone:

1. Kisa cha mpemba.

2. Mwenye kwenu kwaheri.

3. Mtu pesa.

4. Aungurumapo Simba.

5. Mtaji wa masikini.

6. Elimu ya mjinga ni majungu.

Ama kweli udongo unakula watu, sio vitu.

RIP Banza Stone mutoto ya mujini, acha tubaelezeye.
 
Huwa nafurahi sana kuona Banza anapewa heshima yake stahiki, nimekuwa nikisema mara nyingi yeye ndiye msanii bora wa dansi wa muda wote hapa nchini.
Aendelee kupumzika kwa amani.
 
Huwa nafurahi sana kuona Banza anapewa heshima yake stahiki, nimekuwa nikisema mara nyingi huyu ndiye msanii bora wa dansi wa muda wote hapa nchini.
Aendelee kupumzika kwa amani.
Tukiachana na wakongwe wetu waliosimama na mziki wetu wa dansi hadi mwisho wa uhai wao kama Marijani Rajabu na Mbaraka Mwinshehe. Banza Stone ni msanii mungine ambae anapaswa kuenziwa na kuheshimiwa katika mziki wa dansi.

Toka 98, 2000 mpaka leo hakuna mwanamuzi wa dansi ambae anaweza kusogelea uwezo aliokuwa nao Banza Stone... hamna kamwe.
 
Vipi ndugu zangu.

Vitu vitamu kama hivi hapo chini ni vigumu sana kuvipata kwa msanii mungine yoyote zaidi ya marehem Banza Stone:

1. Kisa cha mpemba.

2. Mwenye kwenu kwaheri.

3. Mtu pesa.

4. Aungurumapo Simba.

5. Mtaji wa masikini.

6. Elimu ya mjinga ni majungu.

Ama kweli udongo unakula watu, sio miti.

RIP Banza Stone mutoto ya mujini, acha tubaelezeye.
Mkuu umekumbuka mbali, kwenye drums kulikuwa na mwamba Rastaman GABBY KATTANGA ilikuwa ni hatari. Mungu awape pumziko wanapostahili hawa miamba.
 
Back
Top Bottom