Ali Choki na Muumin Mwinjuma walikuwa wasanii wazuri mno miaka ya 2000 lakini itoshe kusema kuwa Banza Stone alikuwa mwalimu wao

Vipi ndugu zangu.

Vitu vitamu kama hivi hapo chini ni vigumu sana kuvipata kwa msanii mungine yoyote zaidi ya marehem Banza Stone:

1. Kisa cha mpemba.

2. Mwenye kwenu kwaheri.

3. Mtu pesa.

4. Aungurumapo Simba.

5. Mtaji wa masikini.

6. Elimu ya mjinga ni majungu.

Ama kweli udongo unakula watu, sio vitu.

RIP Banza Stone mutoto ya mujini, acha tubaelezeye.
Banza si chochote si lolote.
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu, dah... mzee wa Sinza kwa wajanja.
 
Vipi ndugu zangu.

Vitu vitamu kama hivi hapo chini ni vigumu sana kuvipata kwa msanii mungine yoyote zaidi ya marehem Banza Stone:

1. Kisa cha mpemba.

2. Mwenye kwenu kwaheri.

3. Mtu pesa.

4. Aungurumapo Simba.

5. Mtaji wa masikini.

6. Elimu ya mjinga ni majungu.

Ama kweli udongo unakula watu, sio vitu.

RIP Banza Stone mutoto ya mujini, acha tubaelezeye.
Namba 3 Banza alifanya zaidi ya muziki. Aliupanga wimbo wote, na akaacha wengine waimbe sana. Ni zaidi ya wimbo.

Ova
 
Back
Top Bottom