Mbuzingombe
JF-Expert Member
- Apr 14, 2024
- 353
- 828
Mkuu Ally Choki yupo mzima, amefufua bendi yake ya Extra Bongo,Halafu sasa cha kushangaza wasanii wa siku hizi ndio wanatajirika. Hao kina banza na ally choki wamekufa maskini
Mwinjuma Muumin nae amefufua bendi yake, japo wote wanaoneka kuchoka kiuchumi na utu uzima pia,