BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Mkuu umetisha huu wimbo nimeutafuta sana mpaka YouTube nikaukosa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni historia nzuri sana hii.Kuna hotuba yake aliitoa akamalizia kwani mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe. sasa kuna pori linaitwa kasindaka liko sehemu inaitwa muleba kama unaelekea bukoba mjini. Humo kulikuwa na majambazi yanateka magari. siku wakateka gari halafu wakawa wanawaimbisha abiria mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe...
kisha wakawambia mpelekeni salamu bwana ben kwamba yeye anaiba kwa kalamu sisi tunaiba kwa bunduki.
baada ya tukio hilo jeshi lilitimba na operesheni kali iliyowafutilia mbali
Hizi ni nyakati za kulalamika lalamika tu hakuna cha mana kinachoimbwa.Muhasibu hapana nakataa, nyakati nyakati zimepita mkuu Muumini hajabadilika kitu ,
Tungo zake ni zile zile sauti yake ile ile ila nyakati hizi zinawataka kina
Oyoo oyooo yaah yaaah piga keleleeeee
Baasi nadhani umenielewa
Huo wimbo ni kama aliuweka sawa kwa ajili ya kaka mmoja mzuri aliyeko safarini…Kabisa, unaujua ule wimbo wa Safari? Aliukuta usharekodiwa wakati anarudi Twanga, akausikiliza na akaanza kuuweka sawa.
Ikatoka bonge ya hit, hadi ikapewa jina la albamu. Kwenye Safari sauti ya Banza iko kwa uchache sana, ila kainyoosha.
Ova
Lilikuwa ni goma la njiani ikiwa mko kadhaa mnahama kiwanja usiku sana baada ya Kiwanja A kuanza kupoa. Hapo hakuna wa kusema twendeni tukalale, mizuka inapelekwa juu sana.Hicho kitu sio mchezo, hasa ukikisikiliza wakati ukiwa na hela mfukoni.
Achana na visungura mkuu sababu najua bangi haiharibu akiliBanza si chochote si lolote.
"Aungurumapo Simba" ndio wimbo bora namba moja wa Banza Stone! Ahahahahaha!!Mimi elimu ya mjinga ni majungu, mtaji wa masikini nazikubali sana.
Actually kila alichoimba Banza nakipenda isipokuwa angurumapo simba.
wapo sambamba na TX MOSHIHuwa nafurahi sana kuona Banza anapewa heshima yake stahiki, nimekuwa nikisema mara nyingi yeye ndiye msanii bora wa dansi wa muda wote hapa nchini.
Aendelee kupumzika kwa amani.
Wananchi wenye hasira kali walimzamisha ardhini baada ya kufanya tukio la ujambazi TangaWapi WAZIRI SONYO?