Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ukiongea kweli jifunze kuweka akiba.
Hivi si Choki alisema hata akifa Asha Baraka asiudhurie? Au nachanganya mambo!
Ukweli huwa haubadiriki kamwe, na hii habari ndio naiona sasa hivi hapa kwenye thread hii.
Sasa Twanga itatisha kama zamani Ally Choki hakuwa na platform ya kuonesha kipaji chake sasa mambo ni tambarale ila Choki awe tayari kuwa chini ya Luiza Mbutu maana rekodi na utumishi uliotukuka wa Luiza Mbutu hakuna hata mwanamziki mmoja wa Twanga anayeifikia.
Bolingo Tanzania wanaijua wachache
hivi Ali Choki tokea aanze kuondoka twanga na kurudi haifiki mara 10? duh kufulia kunafanya mtu akose aibu kabisa, na Asha Baraka huyu mama ana roho ya ajabu leo unamsema vibaya kesho anakupokea
Na huyo mama acha baraka anachangia bendi kuyumba maana kazini ubahiri,lazima abadilike