Ali Choki na Super Nyamwela warudi Twanga Pepeta

Ali Choki na Super Nyamwela warudi Twanga Pepeta

Kumbe ukiongea kweli jifunze kuweka akiba.
Hivi si Choki alisema hata akifa Asha Baraka asiudhurie? Au nachanganya mambo!

nakumbuka sana hujachanganya ht kitu kimoja
na asha akamjibu kuA ht yy akifA huyo choki ht asipikuja wamanyema wenzio wapo watamzika
 
Ukweli huwa haubadiriki kamwe, na hii habari ndio naiona sasa hivi hapa kwenye thread hii.

Sasa Twanga itatisha kama zamani Ally Choki hakuwa na platform ya kuonesha kipaji chake sasa mambo ni tambarale ila Choki awe tayari kuwa chini ya Luiza Mbutu maana rekodi na utumishi uliotukuka wa Luiza Mbutu hakuna hata mwanamziki mmoja wa Twanga anayeifikia.

shikamoo kaka
 
Kwenye mambo umiliki na kuendesha bendi dada Asha ni kiboko yao
 
Hakika ni muhimu kuweka akiba ya maneno
 
Ali choki au nimesoma na kuona auto focus??? Duh!!.

"Mate aliyotema Shaban kwa dharau Mchwa anajengea nyumba!!!
 
Du! Hatimae mate aliyoyatema Shaban kwa dharau Mchwa anajengea nyumbaa!!!!!!!!
 
hivi Ali Choki tokea aanze kuondoka twanga na kurudi haifiki mara 10? duh kufulia kunafanya mtu akose aibu kabisa, na Asha Baraka huyu mama ana roho ya ajabu leo unamsema vibaya kesho anakupokea
 
Acha bendi yetu ya watoto wa kinondoni irudi irudi kama zamani ...enzi zile za angurumako simba ilikuwa balaa
 
hivi Ali Choki tokea aanze kuondoka twanga na kurudi haifiki mara 10? duh kufulia kunafanya mtu akose aibu kabisa, na Asha Baraka huyu mama ana roho ya ajabu leo unamsema vibaya kesho anakupokea

Na huyo mama acha baraka anachangia bendi kuyumba maana kazini ubahiri,lazima abadilike
 
Frank jb

Pathetic...! Siamini macho yangu kweli duniani kuna watu wana rangi nyingi na ni mabingwa wa kula matapishi yao
 
Last edited by a moderator:
hivi Ali Choki tokea aanze kuondoka twanga na kurudi haifiki mara 10? duh kufulia kunafanya mtu akose aibu kabisa, na Asha Baraka huyu mama ana roho ya ajabu leo unamsema vibaya kesho anakupokea

Sasa atafanyaje na ilishasemwa ukubwa jalala.
 
Na huyo mama acha baraka anachangia bendi kuyumba maana kazini ubahiri,lazima abadilike

Kama ni bahili na wanaondoka na kurudi, mi nadhani azidishe huo ubahili coz nadhani ndicho wanachomisi huko wanakoenda.
 
Back
Top Bottom