Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zahir Zoro naye anajua kuimba?
I love u.
Kizazi cha dot com utakijua bila chenga.
Zahir Zoro naye anajua kuimba?
Ally Choki wala si mwanamuziki mahiri sjawahi kufurahishwa na nyimbo zake nyingi zimejaa kutaja taja majina hovyo.Sauti yake na namna anavyoimba kumepwaya sana huwezi kumweka kundi moja na wanamuziki nguli kama Marijani Rajabu,Zaihr Zoro .......
Na mie nimeligundua hilo kua dot.com wako wengi humu na hawajui muziki wa bongo...wamezoea bongo flava muziki wao wa CD....Zahir Ally hio ni namba ingine arif, yaani yeye level yake ni ya kina Marehemu Marijan Rajab, Muhidin Gurumo- RIP na kina Bitchuka...hawa sijui akina Diamond na huyu Ally Choki hawawafikii hao niliowataja hata 5% ya uimbaji wao.
Na huyo mama acha baraka anachangia bendi kuyumba maana kazini ubahiri,lazima abadilike
Zahir zoro ndo usimweke hapa kabisaa! Yaani kutoka moyoni sijawahi kumwelewa anachoimba zaidi ya kuonyesha make-ups ##kama wale wanaotuleta duniani. Umeniharibia mn8 zangu bure kumsoma huyo jamaa.
Ha ha haaaaa
Mkuu Zahir ni mwimbaji mzuri kwa style ya enzi zilee, lakini tatizo amekuja kuanza kuforce kuimba kama vijana wa kisasa na kuonekana kituko kabisa
Muonekano wake wa kujitemba na umri wake na jinsi anavyoimba kusema ukweli kunaleta ukakasi sana
Nitajie nyimbo 4 za Zoro kali nizitafute pengine kweli simjui vizuri, hao wengine wakina Marijani nawafaham vyema ingawa ni kizazi cha dotcomKizazi cha dot com utakijua bila chenga.
Nitajie nyimbo 4 za Zoro kali nizitafute pengine kweli simjui vizuri, hao wengine wakina Marijani nawafaham vyema ingawa ni kizazi cha dotcom
Mkuu,
Tafuta Creopatra
Wimbo mzuri sana
Mkuu njaa mbaya! Jeuri alikuwa anapewa na jimama.mungu kalichukua jimama,njaa imempigaKumbe ukiongea kweli jifunze kuweka akiba.
Hivi si Choki alisema hata akifa Asha Baraka asiudhurie? Au nachanganya mambo!