Ali Choki na Super Nyamwela warudi Twanga Pepeta

Kizazi cha dot com utakijua bila chenga.

Na mie nimeligundua hilo kua dot.com wako wengi humu na hawajui muziki wa bongo...wamezoea bongo flava muziki wao wa CD....Zahir Ally hio ni namba ingine arif, yaani yeye level yake ni ya kina Marehemu Marijan Rajab, Muhidin Gurumo- RIP na kina Bitchuka...hawa sijui akina Diamond na huyu Ally Choki hawawafikii hao niliowataja hata 5% ya uimbaji wao.
 
Ally Choki wala si mwanamuziki mahiri sjawahi kufurahishwa na nyimbo zake nyingi zimejaa kutaja taja majina hovyo.Sauti yake na namna anavyoimba kumepwaya sana huwezi kumweka kundi moja na wanamuziki nguli kama Marijani Rajabu,Zaihr Zoro .......

Zahir zoro ndo usimweke hapa kabisaa! Yaani kutoka moyoni sijawahi kumwelewa anachoimba zaidi ya kuonyesha make-ups ##kama wale wanaotuleta duniani. Umeniharibia mn8 zangu bure kumsoma huyo jamaa.
 
Na mie nimeligundua hilo kua dot.com wako wengi humu na hawajui muziki wa bongo...wamezoea bongo flava muziki wao wa CD....Zahir Ally hio ni namba ingine arif, yaani yeye level yake ni ya kina Marehemu Marijan Rajab, Muhidin Gurumo- RIP na kina Bitchuka...hawa sijui akina Diamond na huyu Ally Choki hawawafikii hao niliowataja hata 5% ya uimbaji wao.

Kama aliwahi kuimba basi ni hapo zamani. Ila kwa sasa bila kupepesa macho huyu jamaa ananiboa sana kuanzia nyimbo zake mwenyewe na hata anazoshirikishwa.
 
Na huyo mama acha baraka anachangia bendi kuyumba maana kazini ubahiri,lazima abadilike

Hiv unazani zinalipa sana bend? Wengine wanamiliki kwakuwa wana hobby ya mziki, hao akina choki na mwijuma muumini walikuwa na mawazo kama yako bt walipotoka wakaenda kuanzisha bend zao, ndio wameupata ukwel wakaona isiwe tabu wajirudishe tu,
 
Zahir zoro ndo usimweke hapa kabisaa! Yaani kutoka moyoni sijawahi kumwelewa anachoimba zaidi ya kuonyesha make-ups ##kama wale wanaotuleta duniani. Umeniharibia mn8 zangu bure kumsoma huyo jamaa.

Ha ha haaaaa
Mkuu Zahir ni mwimbaji mzuri kwa style ya enzi zilee, lakini tatizo amekuja kuanza kuforce kuimba kama vijana wa kisasa na kuonekana kituko kabisa
Muonekano wake wa kujitemba na umri wake na jinsi anavyoimba kusema ukweli kunaleta ukakasi sana
 
Daah, nashukuru kumbe sipo peke yangu katika hili. Naamini kila kuamu na mtume wake, huyu baba awekeze hata kwenye bendi ya mwanae tu na siyo kuimba. Nimemshusha thamani sana.
 
Kizazi cha dot com utakijua bila chenga.
Nitajie nyimbo 4 za Zoro kali nizitafute pengine kweli simjui vizuri, hao wengine wakina Marijani nawafaham vyema ingawa ni kizazi cha dotcom
 
Mkuu,

Tafuta Creopatra

Wimbo mzuri sana
 
Kaishiwa si aseme kweli tuu,kachamba bila aibu alipoondoka Twanga,sasa karudi uso mduchuuuuuuuuuu .......
 
Back
Top Bottom